Lady Jay Dee walikutenda nini wanaume mpaka ukawa hivi?

Huo wimbo wa wanaume kama mabinti aliwajibu wale jamaa waliomba tunakula kula na kuvaa siku zinaeeenda kila siku tujirusha, wimbo ambao maudhui ya video unaonesha jinsi wanaume wanavyolelewa na wanawake wenye Mali. Ndiyo chanzo cha yeye kuimba huo wimbo wa wanaume kama mabinti ambao alimshirikisha FA

Tukija wimbo wa Yahya huo wimbo inasemekana lilikua dongo kwa marehemu Ruge yaani alijaribu kuelezea mfumo wa maisha ya Ruge. Ndiyo maana kuna verse anasema maskani yako Kinondoni nyumba namba haijulikani Yahya eeeh

nakweli Ruge alikua akitoka pale mikocheni clouds alikua anakwenda kuchili THT kinondoni......
 
Ana mkapa unamjua unamsikia! Alishawahi kumetegua Ben mguu
Anna ni master kwanza alizaa na wanaume wawili na akawafanya wawe washkaji Uncle Ben akampa Mramba uwaziri wa fedha na jamaa alikuwa na kiburi balaa. Hakunaga wanawake wa maana tunawakalia kimya tu.

Huyo Jide nae analikaga kirahisi hamjui tu, we jifanye mtu wa kutulia pendelea kukaa pale Nyumbani lounge ukiweza kumpa wine zake kila siku ukikaa kimkakati unajilia tu sema amekauka sana halafu kabaya inahitaji utumiejina lake tu kwamba umekula jina la msanii.
 
Nyimbo zake nyingi nazipenda sana ingawa kuna baadhi huwa anakosea mpangilio wa sauti. Wimbo unaonifurahisha zaidi ni ule unaoitwa Muhogo wa Jangombe!
 
Duuh hii code ni nzito sana
 
Wasanii wa kike WA muda wote ndo huyu
Kuna ule alinshirikisha Mr blue "wangu"
Ule nao ukikaa kimkakati Sana yani

Sema kuimba Hana mpinzan mpaka sasa
 
Wasanii wa kike WA muda wote ndo huyu
Kuna ule alinshirikisha Mr blue "wangu"
Ule nao ukikaa kimkakati Sana yani

Sema kuimba Hana mpinzan mpaka sasa
Alikuwa anatupa jiwe gizani
 
Lady Jadee Judith Wambura ni muathirika wa mapenzi. Bado anayasaka na hajayapata. Akiyapta atatulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…