Lady jaydee afunguka kuhusu Band yake na mgahawa

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Nimebahatika kukutana na Komando Lady Jay Dee leo mchana na amejibu maswali kadha kuhusu Nyumbani Lounge na Binti Mchozi.

Machozi Band
Jide amesema "kwa sasa hakuna Nyumbani Lounge ila patakuwa panaitwa MOG Na show zake na The Band zitakuwepo kama kawaida, Machozi Band kwa sasa itajulikana kama Lady Jaydee and the Band tu" Jide pia ameniambia kuwa "Tumeondoa kulia lia so mimi sio machozi tena, itabaki Komando na anakonda" Lady jay Dee ameniambia kuwa November mwishoni atatoa wimbo alioupa jina "Forever" na kashirikishwa mdogo wake Dabo ambaye ni msanii we reggae hapa Tanzania.

Wimbo umefanyika Combination Sounds kwa Man Water

Source: Misago
 
Nimebahatika kukutana na Komando Lady Jay
Dee leo mchana na amejibu maswali kadha
kuhusu Nyumbani Lounge na Binti Mchozi
[Machozi Band ]
Jide amesema "kwa sasa hakuna Nyumbani
Lounge ila patakuwa panaitwa MOG Na show
zake na The Band zitakuwepo kama kawaida,
Machozi Band kwa sasa itajulikana kama Lady
Jaydee and the Band tu"
Jide pia ameniambia kuwa "Tumeondoa kulia lia
so mimi sio machozi tena, itabaki Komando na
anakonda"
Lady jay Dee ameniambia kuwa November
mwishoni atatoa wimbo alioupa jina "Forever" na
kashirikishwa mdogo wake Dabo ambaye ni
msanii we reggae hapa Tanzania. Wimbo
umefanyika Combination Sounds kwa Man Water

Source: Misago
Jide nilimkubali sana ila kwa sasa simfagilii
 
Mimi mwenyewe nimemchukia sana kwa kitendo chake cha kujifanya anataka kumkomoa GARDNER kwa kubadilisha kila kitu, ivi bila gadner jide na madharau yake yale asingefika apo alipo, gadner alikuwa ana mchango mkubwa sana, hata kama wana maugomvi yao , wangetengana tu kama wana ndoa wengine ila u manager ungebaki pale pale, maana jamaa alikuwa n super creative

Jana Yenyewe Nyumbani lounge hapakuwa na watu wala nini, sasa unadhan wale watu wa gadner watakuja tena nyumban lounge?? JIDE ataanguka vibaya sana, labda anajiamini kwa kuwa ana mbinu zote na experience aliyoipata kwa gadner
 
Makubwaaa ni wewe warumi au kuna mtu katumia id yako
 
Anajiona kafika na ana kila kitu, ila ni lazima akumbuke aliyemsaidia, hata kama sio kifedha gadner ana mchango mkubwa sana, hayo mengine ni ubinadamu tu
Jide kusikika ni kwa ajili ya Gadena,ndo maana hata clouds walipomtosa bado alisikika,now tuone kama atahit labda hiyo redio yake iliyokuwa inapewa promo na akajipe promo mwenyewe
 
Back
Top Bottom