Lady Jaydee alivyowafunga midomo Mawingu

i have just watched ben pol new video on clouds tv.at the middle of the first verse dogo c kamtaja lady jay dee...jamaa wame scratch kidogo ili jina la jay dee lisisike.#kweli joto hasira.
 
i have just watched ben pol new video on clouds tv.at the middle of the first verse dogo c kamtaja lady jay dee...jamaa wame scratch kidogo ili jina la jay dee lisisike.#kweli joto hasira.

Kumbe hadi Clouds TV mnaangalia? Daah safi sana. Mi nilidhani mnaskiza redio tu :heh:
 
mkuu wala hujakosea.wapewape vidonge vyao!ila mind you,wengi wao hata aliyeandika hii thread inaonekana ni shule less ivyo wengine wapuuze,ila kwa ulivyosema cccccm chama kubwa kidogoo umenichanganya,but anyway we are together!
 
Kumbe hadi Clouds TV mnaangalia? Daah safi sana. Mi nilidhani mnaskiza redio tu :heh:
yep tunaangalia.hata wa US pamoja na uwezo wao kijeshi lakin hufatilia mienendo ya vitaifa vidogo/masikini in a very keen way.ie tz etc.una swali jingine ndg?
 
yep tunaangalia.hata wa US pamoja na uwezo wao kijeshi lakin hufatilia mienendo ya vitaifa vidogo/masikini in a very keen way.ie tz etc.una swali jingine ndg?

Hapana, sina. Endeleeni tu kuiangalia na pia kuisikiliza Clouds FM. Pia mnaweza mkawafuata kwenye Twitter na ku-like peji yao ya fesbuk.
 
hipo siku watampigia magoti watakapogundua kua wanajidhalilisha kwa makampuni ya kibiashara.
 
Hapana, sina. Endeleeni tu kuiangalia na pia kuisikiliza Clouds FM. Pia mnaweza mkawafuata kwenye Twitter na ku-like peji yao ya fesbuk.

Mkuu upo?

Nasikia show ya clouds iliudhuliwa na wafanyakazi tu nao nasikia walilazimishwa!

Naona sasa mmeamua kufanya ya Kalapina
 
Hapana, sina. Endeleeni tu kuiangalia na pia kuisikiliza Clouds FM. Pia mnaweza mkawafuata kwenye Twitter na ku-like peji yao ya fesbuk.

wewe mwaka huu utapiga deki kwa watangazaji? Wewe kila cku kazi yako ni kujipendekeza kwa clouds fm wanakujua hao?
 
Duh!!!!Watu wametumwa na wakatumika.Angalau unatakiwa umshukuru Jide kwa kuanzisha bifu angalau ukajipatia ka-kibarua,kanalipaeeee?Hutamsahau Jide daima,ni next level.
 
wewe mwaka huu utapiga deki kwa watangazaji? Wewe kila cku kazi yako ni kujipendekeza kwa clouds fm wanakujua hao?

Na wewe kila siku kazi yako kumwaga chuki zako dhidi ya Clouds utadhani walimla mama yako halafu wakamtema kama bigjii. Kwa nini una roho nyeusi wewe? Unawajua? Na wao wanakujua?
 
hipo siku watampigia magoti watakapogundua kua wanajidhalilisha kwa makampuni ya kibiashara.

Wampigie magoti ili iweje? Hasujudiwi mwanamke yoyote. Labda umpigie magoti ya sujuda wewe na ukoo wako.
 
Wewe utakuwa ni chizi uliyetoroka mirembe! si bure
 
Great supine protoplasmic invertebrate jelly!
Wewe ndio kilaaza kweli ,peleka kule kingereza chako cha ku-copy na ku-paste

Umesahau kidogo hapo mwisho iliandikwa jellies !
"Monday 25 February 2013
The Mayor of London Boris Johnson has berated London Assembly members as "great supine protoplasmic invertebrate jellies", after they voted against grilling him over planned budget decisions.

Mr Johnson has rejected calls to alter his position on a proposed council tax cut, which opposition members say could see 12 fire stations close."

Jipange upya ,hili ni jukwaa la great thinkerz .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…