Lady Jaydee alivyowafunga midomo Mawingu

hahaaa kumbe ka copy halafu kajifanya anaprove kwamda anajua kiingilshi
rugay sijui anamlipa bei gani huyu jamaa
 
There are known knowns. These are things we know that we know. There are known unknowns. That is to say, there are things that we know we don't know. But there are also unknown unknowns. There are things we don't know we don't know.
 
Kama kwako Kiingereza ni hadhi basi ukweli ni kwamba mimi ninakijua mara mia arubasitini zaidi yako.

Kwa hilo najiamini bila kimuyemuye hata chembe. Kwa hiyo siyo kwamba najifanya sijui najua "kiingilshi". Ni ninakijua kukuzidi.

Kujua kupembua kati ya mchele na pumba nayo ni alama ya werevu. Vivyo hivyo kupembua kati ya mzaha na umakini. Jaribio ambalo mmefeli wote.
 
There are known knowns. These are things we know that we know. There are known unknowns. That is to say, there are things that we know we don't know. But there are also unknown unknowns. There are things we don't know we don't know.
Jipange upya leo umechemsha ...
 
There are known knowns. These are things we know that we know. There are known unknowns. That is to say, there are things that we know we don't know. But there are also unknown unknowns. There are things we don't know we don't know.

unahangaika sana........
 
Anafikiri great thinkerz wa Jf ni kama wale watangazaji wenzie wa clouds ...

First off, what great thinker has a swastika on their avatar? You!

Second, what great thinker launches into gratuitous tirades of insults as opposed to a measured and civil confabulation? You.

Third, in the pantheon of great thinkers you are no where near it. To call yourself a great thinker is a travesty of the facts. You ought to stop it.
 
unahangaika sana........

Hayo ya kuhangaika ni maruweruwe yako tu. Sina shida yoyote mimi sasa nihangaike na nini? Wewe labda ndiye unayehangaika na maisha yako na hivyo unadhani labda na wengine pia wanahangaika kama wewe. Hiyo kwenye saikolojia tunaiita 'projection'. Google it.
 
Anafikiri great thinkerz wa Jf ni kama wale watangazaji wenzie wa clouds ...

Halafu mimi siyo mtangazaji wa Clouds. Never have never will be.

Clouds hawawezi kunilipa mshahara mimi. Kwa hiyo achana na hiyo dhana potofu ya kwamba mimi ni mtangazji wa Clouds.

Siwezi kutangaza Clouds tokea majuu. Au ulidhani mi ni mla vumbi na mnuka kwapa?
 
Naona umeanza mipasho ,unataka nani ajue kuwa wewe unaishi ughaibuni na unalipwa ghali ! Tuliza akili acha kuruka ruka.
 
Kama hutaki kujua nakula bata Marekani basi acha kunizushia kazi ambazo sizifanyi huko mavumbini.

Mimi sijawahi na sifanyi kazi Clouds na siishi mavumbini. Get that heaux.
 
Kama hutaki kujua nakula bata Marekani basi acha kunizushia kazi ambazo sizifanyi.

Mimi sijawahi na sifanyi kazi Clouds na siishi mavumbini. Get that heaux.
Haya mla bata wa marekani ,nipo Tandale na maisha yanaenda vyema network inasomeka . Utakuja na Obama kuja kutujulia hali wala vumbi ama ndio umetutupa mazima !
 
Siji na Obama mimi. Nakuja kwa ratiba, shughuli, na mipango yangu. Na hata nikija watu kama wewe huwa nawaepuka msije ninukisha vikwapa bure.

Ushashonesha nguo za kumpokelea huyo Obama wako?
 
nimekukubali
 
Wewe hujaambulia chochote katika nilichoandika.

Kwa hiyo na wewe unadhani umeandika? au hivyo vimaneno vya kipumbavu unadhani kila mtu atakua na Stunt.....
Pumbavu kabisa....unamfahamu Prof. Maboko wa Udsm? Mukandala?......jaribu kutafuta article zao usome...nyau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…