Lady Jaydee alivyowafunga midomo Mawingu

Upo trainer? Aisee nitumie basi antiperspirant moja mazee. Kikwapa noma kweli.
Ngoja nisikuulize machungu ila kubali yaishe bwana. Team anaconda imeshinda.

Hahaha nipo trainee. Umekuwa mvivu sana wewe siku hizi. Na upunguze kula mi KFC.
 
Kocha wa Taifa stars namkubali sana, kidogo tuinuse world Cup....
 
Mie sili kfc bwana ila mzani umegoma kusoma sawasawa. Nna mpango wa kukutoroka nihamie swimming.

Au tuanzishe dancing gym?
Hahaha nipo trainee. Umekuwa mvivu sana wewe siku hizi. Na upunguze kula mi KFC.
 
Ligi si unajua mwamuzi wake ni kipenga? Ile ilikuwa nage ya chupa na mchanga. Tumefunga bao 40 kwa 3. Unaukumbuka wimbo wa 'simba imara simba imara, yanga makopo yanga makopo'?

Hatupambani babangu, tunangojea ile fweza ya rambirambi aliyoahidi team fatmah tuende kwa mama ngwair. Ntakustua tuende wote
habari, bado mnapambana angalia ban tu...
 

Hahaha ubongo mgando!
 
Michango ya WADAU ndio iliyonileta hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…