warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Kupitia kwenye kipindi chake cha DIARY YA LADY JAY DEE, judith wambura mbibo(lady jaydee) miezi michache iliyopita aliwahi kusikika akisema "Am no longer binti machozi(mimi sio tena binti machozi),niite commando au anaconda". wengi hawakumuelewa alikuwa ana maana gani,wengi walijua ni swagg tu,lakini ivi karibuni ameweza kuthibitisha kauli hiyo kwa matendo,kuwa yeye siyo mtu wa kumchezea tena kama ilivyokuwa zamani(no longer binti machozi). Kama unabisha jaribu kuingia kichwa kichwa kama hujamezwa, waulize mzee wa fursa,mwana fa na january makamba wanamjua vizuri huyu malkia wa bongo fleva. Huu ndio ujio mpya wa lady jaydee a.k.a Anaconda..