Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Kuna namba anazisoma......jide anajikomba sasa ameanza kuwa mpole
Kaongea kiutu uzima. Bifu inafka muda inaishajide anajikomba sasa ameanza kuwa mpole
Wewe binafsi huna matatizo na Ruge! Who are you by the way!!? Mmh.... Humjui Ruge, hata Kama akamaliza bifu lake na Jide, haitamfanya kuwa Malaika!Mimi nili muelewa ruge,jide alikataza nyimbo zake zisipigwe clouds.na ruge akafuata order.kinachoonekana jide hataki kujishusha...ila mimi binafsi sina tatizo na ruge.
Ni wapi Ruge kasima ana shida na umalaika.??Wewe binafsi huna matatizo na Ruge! Who are you by the way!!? Mmh.... Humjui Ruge, hata Kama akamaliza bifu lake na Jide, haitamfanya kuwa Malaika!
Hilo jina lako linaakisi ulichoandika. Hata ukiwa na tatizo nae huna athari.Mimi nili muelewa ruge,jide alikataza nyimbo zake zisipigwe clouds.na ruge akafuata order.kinachoonekana jide hataki kujishusha...ila mimi binafsi sina tatizo na ruge.
Jide sasa ameanza kunyooka soon ata ruhusu nyimbo zake zipigwe na Clouds FM
Ruge ndio anamlamba miguu JideJide afute adharani kwanza ule waraka wake ulikua umejaa chuki na kashfa.. ndo labda afikiriwe na Clouds.