Amepoteza trophies, hajapoteza tuzo.Msanii Jide Jaydee ameweka wazi kuhusu kupoteza tuzo zake 22, ambapo 10 zilivunjwa na mtu, na 12 ziliibiwa na wezi.
Jide kupitia mtandao wake wa X amesema,
"Matukio yalioniumiza mwaka jana ni Tuzo zangu 10 zilivunjwa na mtu na nyingine 12 kuibiwa na wezi. Nawaza sijui walienda kumuuzia nani ? Nimepoteza jumla ya Trophies 22. Nilihisi kama sehemu ya mwili wangu imemegwa. Ila maisha hayajawahi kusimama".
View attachment 2896920
Written by Mjanja M1 ✍️
Tuzo za kora bado zipo kwaniTrophies mwisho wa siku ni ile status (kwahio aweza kwenda kwa hao waliompa au kutengeneza replicas)...
Jide ana libido, aje nimtoe upwiruMsanii Jide Jaydee ameweka wazi kuhusu kupoteza tuzo zake 22, ambapo 10 zilivunjwa na mtu, na 12 ziliibiwa na wezi.
Jide kupitia mtandao wake wa X amesema,
"Matukio yalioniumiza mwaka jana ni Tuzo zangu 10 zilivunjwa na mtu na nyingine 12 kuibiwa na wezi. Nawaza sijui walienda kumuuzia nani ? Nimepoteza jumla ya Trophies 22. Nilihisi kama sehemu ya mwili wangu imemegwa. Ila maisha hayajawahi kusimama".
View attachment 2896920
Written by Mjanja M1 ✍️
Mvunjaji akakatwe nini tena?Alireprt polisi asaidiwe kutafuta wezi na mvunjaji akakatwe?
Na kama inavumilika basi siku nazo hazigandi.
Hizo 10 ziliponzwa na utukutu wake wa kutotulia.Msanii Jide Jaydee ameweka wazi kuhusu kupoteza tuzo zake 22, ambapo 10 zilivunjwa na mtu, na 12 ziliibiwa na wezi.
Jide kupitia mtandao wake wa X amesema,
"Matukio yalioniumiza mwaka jana ni Tuzo zangu 10 zilivunjwa na mtu na nyingine 12 kuibiwa na wezi. Nawaza sijui walienda kumuuzia nani ? Nimepoteza jumla ya Trophies 22. Nilihisi kama sehemu ya mwili wangu imemegwa. Ila maisha hayajawahi kusimama".
View attachment 2896920
Written by Mjanja M1 ✍️
Kivunjio🤣Mvunjaji akakatwe nini tena?
Walimfanyaje?Tulimkataza urafiki na vijana wa uvccm hasikii
Nje ya uvccm unadhani nani mwingine kamuibiaWalimfanyaje?