nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Umemuelewa mleta mada mkuu ?Kwani kuna sehemu inamtaka kila mtu amtakie kheri ya kuzaliwa mtu?
Umemuelewa mleta mada mkuu ?
Amegusia wale waliopata msaada kutoka kwa mbowe .kwa kibongo bongo fadhila ni kitu cha muhimu sana
namshangaa hiyo club bills imesaidia watu wengi sana,hajaelewa kwamba hata wengine wanamkubali sana ila wanaogopa visasi vya watu fulani,ngoja tu wakitoka madarakani wataelewa vizuri jinsi walivyokuwa wanachukiwaUmemuelewa mleta mada mkuu ?
Amegusia wale waliopata msaada kutoka kwa mbowe .kwa kibongo bongo fadhila ni kitu cha muhimu sana
kama vile wabunge wa ccm walivyochagua uhuru wa kutompa pole tundu lissu?au waliogopa?umesahau kuna walioutumia uhuru wao kumtembelea lema gerezani wakaonywa kwa usaliti?hujaelewa kwa nini wameogopa kumpa mbowe happy bday?hata kina kusaga waliokuwa wamepafanya biliicanas uwanja wa nyumbani?hadi kina dj jd,dah awamu hii kweli mmefanikiwa KUENEZA CHUKI NA UTENGANO,hongereni kwa hiloMkuu nimemuelewa hata kama alipata msaada wa Mbowe ila uhuru wa mtu unabaki kuwa pale pale hakuna sehemu inayomtaka kila mtu aliyepata msaada ampongeze kwenye siku yake ya kuzaliwa.
Kwani kuna sehemu inamtaka kila mtu amtakie kheri ya kuzaliwa mtu?
Kumpa pole mtu au kumpongeza sio suala la lazima na halitakuwa na ULAZIMA.kama vile wabunge wa ccm walivyochagua uhuru wa kutompa pole tundu lissu?au waliogopa?umesahau kuna walioutumia uhuru wao kumtembelea lema gerezani wakaonywa kwa usaliti?hujaelewa kwa nini wameogopa kumpa mbowe happy bday?hata kina kusaga waliokuwa wamepafanya biliicanas uwanja wa nyumbani?hadi kina dj jd,dah awamu hii kweli mmefanikiwa KUENEZA CHUKI NA UTENGANO,hongereni kwa hilo
Zwazwa!
nina hakika siku ukisikia lady jay dee anashughulikiwa kwa kutoa salamu hizi za birthday utashangilia na kusema akome kwa kiherere chake cha ku wish hbd kwa maadui wa nchiKumpa pole mtu au kumpongeza sio suala la lazima na halitakuwa na ULAZIMA.
Huna hoja mbali na matusi ya mama yako hayo aliyokufundisha wakati anaanda chakula cha mmewe wa kando.
Bwabwa!
Ukipuuza amani Na Usalama lazima nawe upuuzweUsiwashangae watanzania mkuu walimpuuza Lissu aliyetobolewa matundu mwilini walimpuuza
Itakuwa mbowe?
Sipendi kushangilia matatizo ya mwenzangu ila hakuna mtu amelazimishwa kumtakia Mbowe kheri ya siku yake ya kuzaliwa.nina hakika siku ukisikia lady jay dee anashughulikiwa kwa kutoa salamu hizi za birthday utashangilia na kusema akome kwa kiherere chake cha ku wish hbd kwa maadui wa nchi
Ukipuuza amani Na Usalama lazima nawe upuuzwe
Nimekuuliza swali ,unakumbuka wale wabunge wa ccm walioenda kumtembelea lema jela kule kisongo?wakapigwa mkwara kwa usaliti?hadi wakaogopa hata kumpa pole lissu?hakuna aliyelazimishwa kukujibu swali lako,lakini na mimi swali langu MBONA MNATUJAZA MACHUKI NAMNA HII,KWANI MNALAZIMISHA WATU WACHUKIANE KISA SIASA,KISA WAPINZANI?Sipendi kushangilia matatizo ya mwenzangu ila hakuna mtu amelazimishwa kumtakia Mbowe kheri ya siku yake ya kuzaliwa.
Nimekuuliza swali ,unakumbuka wale wabunge wa ccm walioenda kumtembelea lema jela kule kisongo?wakapigwa mkwara kwa usaliti?hadi wakaogopa hata kumpa pole lissu?hakuna aliyelazimishwa kukujibu swali lako,lakini na mimi swali langu MBONA MNATUJAZA MACHUKI NAMNA HII,KWANI MNALAZIMISHA WATU WACHUKIANE KISA SIASA,KISA WAPINZANI?
Amani gani mkuu? Kuua watu? Ndo amani yapatikana?
Acha kujiaibisha boss
honestly kabisa unataka uniambie kwamba haya mambo hayapo sasa Dar esaaam hii,Tanzania hii??//kabisaaaaaaaa??Ukiona umetishwa usifanye kitu cha utu kisa utapapaswa na wewe ukaacha basi ujue wewe uliyeacha ni MNAFIKI.