Lady Jaydee atuma salamu za pongezi kwa Mbowe kwenye siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa

Urafiki upo wa aina mbili kuna urafiki wa muda (kwa ajili ya manufaa yako muda huo) na urafiki wa kudumu/milele (huu huwa haujalishi mtu yuko wapi na anacho au hana ila bado mnazidi kushikamana)

Jay De huwenda ni rafiki wa kudumu kwa FM ila hao mnaowalazimisha na wao wawe kama LJ mnajua urafiki wao na FM au unajua kama ni wanafiki kwake?
honestly kabisa unataka uniambie kwamba haya mambo hayapo sasa Dar esaaam hii,Tanzania hii??//kabisaaaaaaaa??
 
Lady jaydee akianza kushughulikiwa kwa kumu wish freeman mbowe au kama nyie wana ccm mnavyomuita adui wa taifa msianze kumcheka,maana hiyo salaamu tu kuna watu wamevimba huko ingawa kanisani jumapili tutawaona wamepiga magoti na kunyenyekea huku wengine wakilia kabisa.
 
Jiheshimu wewe we kijana

Amani kuharibika haitokei siku moja its a process, mmeshaanza kuharibu amani siku nyingi .hayo uliyaorodhesha hapo juu ni matokeo ya kutokuwa na amani sasa ndugu yangu akili yako imeganda?

Acheni kuandaa watu kuwa magaidi wa baadae
Umayoyaona Somalia leo hayakuzuka kwa siku moja...
 
Usidhani kila mtu ni Ccm au Chadema. Wengine tunawaangalia na utumwa wenu wa siasa.
 
NO WAY
uwongo mtupu walahi
Hata ukimuuliza mwenyewe atakwambia
Hiyo ya tarehe 9 December ni uwongo wa hali ya juu
eh walahi basi muongezeeeni kwenye hati ya mashtaka walahi,kumbe muongo namna ile walahiii?yaani alifyataua risasi iliyomuua akwelina halafu kadanganya kuhusu tisa december walahi?
 
kwani kuna ulazima gani hayo n maamuzi ya mtu mzee
 
Kumbe unajua Tofauti ya Somalia Na Tanzania Halafu unajifanya Eti TZ Hakuna amani!
 
mzee ushatia na siasa kwenye maamuzi ya mtu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Amani ni hali ya raha na salama....Watanzania majority wana raha???wako salama?? wakati maiti zinaokotwa Coco beach.....mwanamke anajifungua kituo cha polisi kisa mume wake fundi seremala kadhulumu kitanda..list ndefu sitaki kurudia
 
unafiki kipaji chetu...
usahaulifu wa fadhila ndio sifa yetu!
 
Amani ni hali ya raha na salama....Watanzania majority wana raha???wako salama?? wakati maiti zinaokotwa Coco beach.....mwanamke anajifungua kituo cha polisi kisa mume wake fundi seremala kadhulumu kitanda..list ndefu sitaki kurudia
Hayo Ni Matukio ya kihalifu Na Dunia nzima yapo
Ila Amani ipo Tanzania na itaendelea kuwepo Inshallah
 
Sipendi kushangilia matatizo ya mwenzangu ila hakuna mtu amelazimishwa kumtakia Mbowe kheri ya siku yake ya kuzaliwa.
Siasa zimetuadhiri sana, kila kitu mtu ana kirelate na siasa. Kuna mambo mengine tu ya kawaida na sidhani hata kama huyo Mbowe kamaindi kutowishiwa Bday, mbona wengi ambao hawakumuwish, hawakumuwish bday pia JPM. Hata mimi mambo ya Bday yanipite pembeni tu sina mtindo wa kuwish watu Bday
 
Good uko kama mimi, juzi mpenzi wangu alikuwa na bday sikuhangaika hata kumwambia chochote.

Mwanangu pia hivyohivyo, sioni maana yoyote ya kufanya hivyo.
 
Good uko kama mimi, juzi mpenzi wangu alikuwa na bday sikuhangaika hata kumwambia chochote.

Mwanangu pia hivyohivyo, sioni maana yoyote ya kufanya hivyo.
Umeona mkuu, mimi hata Bday yangu uwa naisahau naweza kumbuka after a day au mtu aniwish akikumbuka, kitambo kipindi niko fb ndo ilikuwa inanikumbusha kwa zile notification zao.
 
Aiseee tatizo kizazi hiki kimekuwa na upuuzi mwingi sana, bday niliamua kuibadili toka nikiwa mdogo ili kuwapoteza maboya.

Nawaambia nimezaliwa Feb 29 sasa mpaka nije kusheherekea ni baada ya miaka 4.
Umeona mkuu, mimi hata Bday yangu uwa naisahau naweza kumbuka after a day au mtu aniwish akikumbuka, kitambo kipindi niko fb ndo ilikuwa inanikumbusha kwa zile notification zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…