Lady Jaydee atuma salamu za pongezi kwa Mbowe kwenye siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa

Ngoja niende kwa sister Jay Dee asubuhi hii kuona kama wale wazee watakuja kumchukua mtoto wa watu kumpeleka Central akafanye push ups za ziada baada ya kum-wish 'supposedly' GAIDI wa taifa a Happy Birthday.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…