Lady Jaydee avunja rekodi ya Tuzo Tanzania nzima (2001 - 2014)

Aaaa unajua watu domo kawakaa mdomoniii mnooo

Team ndomo ushamba unawasumbua mno ,jide team yake inajielewa haina mbwe mbwe yeye ni kazi na hata hiyo tuzo hana mda nayo , ndomo sasa anavyohangaika ila atazoea tu kama jide had atachoka ata kuudhuria hizo tuzo kama Dada jide , maana kupokea tuzo toka 2001 had 2014 si mchezo binamu na inachosha sana ndo maana jde anapotezea kachoka sana wamuache
 

Mkuu wewe wa wapi??? domo kaya analipa pesa ili apigiwe promo...Naskia akija watu wataunga foleni kudaka ila Jide hana huo upuuzi!!!
 
Jide namkubali ameweza kumantain status yake kwa miaka zaidi ya kumi, anajua nini anachofanya wapo wapi Ray c,Zay b,sister p,Stara Thomas,raha p.
Diamond namkubali anajituma sana na siku zote ujitumapo mafanikio lazima yaje na anajua wabongo wanataka nini kwa wakati fulani.
Nahisi wana vitu fulani ambavyo wanamuziki wachipuao wanatakiwa kujifunza kutoka kwao.
Angalizo Diamond angalie wamzungukao hasa management yake wengine hawafai kuwepo pale .Akifanya hivyo Diamond ataendelea kukaa juu kwa muda mrefu.
 
Jide ameshazoea kubeba tuzo,acha washamba watambe,,ooh kakutana na Akina Nelly sijui wamepiga picha.....ivi safari hii hajapiga mapicha na mastaa jamani???????

Mmh ngoja nichungulie kwenye vi blogs uchwara na najua kesho GPL lazima waongeze chumvi tu , utasikia "DIAMOND AVUNJE REKODI AFRRIMA, wakat waliovunja rekodi ni Nigeria wenyew wamepata tuzo kumi, na south Africa sijui nane au tano , Tz ndo tumepata mbili , kesho utaona tu binamu lazima wampimpu ndomo,
 

Haya bina habari za mchana
 
Mkuu wewe wa wapi??? domo kaya analipa pesa ili apigiwe promo...Naskia akija watu wataunga foleni kudaka ila Jide hana huo upuuzi!!!

Mkuu mimi wa Chanika, lakini sidhani kama analipa pesa blog zote. Kupata tuzo kwa Jide na Dai ni habari haitajiwi promo inapaswa iandikwe tu.
 
Kama kupata tuzo tungekuwa tunafanya sherehe bas team anaconda tungevunja rekodi maana toka 2001 had Jana si mchezo , huyo ndomo tuzo kaanza kupat 2010 sasa wanatak kumfananisha na komando jide si matusi hayo?

Hata Diamond anaweza kufikia rekodi ya Jide kama akiendelea kuwa na akili nzuri maana hawa vijana hawatabiriki. Na kumlinganisha Jide na Dim kwa kiwango cha tuzo si sawa sababu Dai kwenge gemu hajafikisha miaka hata 10 wakati Jide ana more than 13yrs.
 
Binam mi naumwa kiba hajabeba tuzo why

Eeh we nae sasa Kiba alikuwepo kweny categories za kuwania tuzo ? Kiba is Good tatizo ukimya wake umempoteza, ana kipaji sana yule na sauti nzur , ndomo mbunifu tu ila kwa Kiba anasubir
 
Binamu nilianza kumsikia jide wakati ule wa kifo cha mwalimu Nyerere akiwa na Fina Mango kwenye ule wimbo wao wa maombelezo,wakati huo clouds clouds kweli .

Ilikuwa miaka ya tisini nadhani, duh huyu bibie ni shida had Leo bado analisongesha na balaa lake ni zito sana , sidhan kama atapata mpinzani ivi karibuni , wasanii wanatakiwa wajipange sana kufikia level za jide , pia wajifunze kutoka kwake sio tu kwenye kupokea tuzo hadi maisha yake jinsi anavyoishi na mafanikio aliyonayo.
 
Mkuu wewe wa wapi??? domo kaya analipa pesa ili apigiwe promo...Naskia akija watu wataunga foleni kudaka ila Jide hana huo upuuzi!!!

ushamba tu hv angepata MAMA ingekuaje?!maana hzo zenyewe hazijulikani
 

Yes ndo maana nasema huwezi kumfananisha jide na ndomo, ni matusi sana, jide ni legendary nothing compares ,hakuna na haitatokea, huwezi kufuta historia yake tamu na ya kusisimua kwenye ulimwengu huu Wa mziki Wa kizazi kipya.
 
ushamba tu hv angepata MAMA ingekuaje?!maana hzo zenyewe hazijulikani

Baba ubaya anahangaika na tuzo tuzo anasahau hata kutengeneza maisha yake , au anajua hao wanaompa tuzo watakuwa responsible na maisha yake ? Anafikir hao akina davido anaohangaika nao watakuja kumsaidia akifulia?

Ndomo haoni hata aibu , wasanii wenzie wote waliopata tuzo wana maisha yao mazur na wamejenga nyumba zao , yeye atahangaika na kina davido akidhan watakuja kumsaidia kujenga hata tofali , ipo siku atajua tu tofauti yake na wakina davido maana ndomo anakazana sana kujiongeza wakat hamna kitu.
 

Nitafurahi sana kama wanamuziki Wa kibongo wakiacha kujipendekeza kutwa nchi za watu kuomba collabo, kwa nini wasanii wenyew Wa nje wasiwafuate nyie watake kufanya collabo? Kila siku nyie tu? Hawajiulizi tatizo ni nini had hakuna hata msanii Wa nje anayetaman kuwashirikisha?

Yani mtu uwi maarufu had uimbe na iyanya? Utumwa gani huo ? Wabongo waache nidhan ya uoga na kutokujiamin, kwan ndomo hawez kufanya collabo na Kiba ika hit Africa nzima had kupata tuzo za MTV au bet had waimbe na akina Davido? Bhas kazi wanayo mwaka huu , wajitahid tu kujiongeza watafika mdogo mdogo
 
SIFA ZA KIJINGA UTAZIJUA TU.

Nampenda jide kwa kazi zake.

Lakini huu uzi ni wa kijinga.

UNAANDIKA JIDE AMEVUNJA REKODI.

halafu ndani hujaonyesha hiyo rekodi aliyoivunja iliwekwa lini na nani alikuwa anaishikilia kabla ya jide kuivunja.

Ujinga zaidi ni pale ulipoenda mbali zaidi na kujisifia zaidi kuwa nyie si watu wa kupiga kelele mitandaoni LAKINI HAPOHAPO UMEANDIKA KWENYE MTANDAO. MORE THAN CRAZY
 
Last edited by a moderator:

Umeongea hoja nzito
 
Congratulation Jide we kweli mwanamke wa kishoka i like your spirit keep it up sister unajitambua na kuonyesha u strong wako since 2001 hongera zake kaza but wewe ni iron lady miaka elfu kumi

jide kwa east africa hakuna wa kumfananisha nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…