Lady Jaydee avunja rekodi ya Tuzo Tanzania nzima (2001 - 2014)


Kufanya collabo na wasanii wa nje sio vibaya hiyo ni mojawapo ya njia ya kupanua soko la music. Afanye na Kiba wakati watu wenyewe hawaishi kupigana majungu.Dia anastahili pongezi binamu tumpongeze tu kama tunavyompongeza Jide. Halafu Jide anavyojishau haendi kuchukua tuzo KILL kumbe 'Sizitaki mbichi hizi''.
 

mi nawapongeza wote ika jde ktma hataki kukutana na wabaya wake
 

Acha kutokwa na mapovu

Hizo tuzo alizochukua hujaziona au umetumwa? Nitajie msanii ambaye amewahi kupata hizo tuzo, kama huna tafadhal niache sitak malumbano yasiyokuwa na ushahid , Mimi nimeweka ushahid Wa tuzo alizopokea na wewe weka za msanii unayedhan anastahili kuliko jide , sio unapiga kelel kama mlev Wa chang'aa
 

Ndomo kashapata pongezi za kutosha na anastahili

Jide nahisi kachoka kuchukua tuzo , toka 2001 had Jana yeye tu? Hata mm ningechoka, anything too much is harmful, ata ndomo akianza kupokea tuzo nyingi kwa takriban miaka kumi mfululizo lazima ataleta pozi tu si anajua hakuna kama yeye? Jide ana jeur anajua hakuna kama yeye ndo maana hateterek ovyo na kila siku tuzo zinamfuata na hajawahi hata siku moja kujipigia promo mtandaon kama ndomo ila jide lazima atwae tuzo , dah Lazima uwe na jeur halaf unapewa tuzo bado huend kuchukua , jide nyoko sana
 

Ndomo kashapata pongezi za kutosha na anastahili

Jide nahis ka
 

Wewe akili yako iko wapi ku comment kwenye uji.. Si na inaonyesha na wewe mulemle mbona uzi rahisi kuelewa wala haitagi phD yeye kaandika tuzo nyingi alizochukua na wewe njoo na mawazo yako ya ki.genious basi sometimes to learn ku appreciate wengine kah
 
mafanikio ya jd ni yakuigwa kwa wasanii wenzake wakike na wakiume co wivu na umalaya kutwa kuchwa magazetini ,kuuza na kutumia madawa ntafungwaaa!! dada jd pga kazi tunakutegemea ,fanya kazi waonyeshe vjana nidhamu ya kazi co ushambenga wa nusu uchiiii..
 
Frankly speaking mimi nikiambiwa niseme mwanamziki bora kati ya jide,diamond na kiba sitakururupuka.

Nitaangalia muda wa miaka mitano ya kwanza kwa diamond na mafanikio yake, muda wa miaka mitano ya kwanza kwa alikiba na mafanikio yake ,muda wa miaka mitano ya mwanzo kwa jide.

MIAKA MITANO YA MWANZO NI KUBALANCE MUDA MANA DIAMOND ANA MIAKA 5tu kwenye game huku wenzake wakiwa miaka zaidi ya kumi.

NA KAMA UNA AKILI TIMAMU NA UMEBAHATIKA KUSOMA SOMO LA QUALITY MANAGEMENT SOMO AMBALO LINAHUSIKA KUPIMA UBORA NA VIGEZO SAHIHI VINAVYOTUMIKA BASI UTAKUBALIANA NA MIMI KUWA KIGEZO NILICHOTUMIA KIPO SAHIHI.

lakini kama nabishana na mtu asiyelijua darasa atapinga vigezo ninavyopendekeza kutumika.

Ukiwalinganisha hao watatu kwa kigezo hicho cha miaka mitano ya mwanzo kila mmoja alipoanza muziki hakuna ubishi kuwa Diamond ataonekana bora zaidi kuliko jide na alikiba.


Ukiambiwa kulinganisha wingi wa mashabiki kwa wote hakuna ubishi kuwa diamond ana mashabiki wengi mno kwa sasa kuliko msanii yeyote.
 
Kwa Chamilion hagusiiiii ni motoo yule jamaaa

Wee nae umevurugwa binamu , mwenzio anazungumzia kwa wanawake na ni kweli hakuna Wa kumgusa na kwa wakiume nadhan umeona mwenyew ndomo kabeba tuzo so labda chamellion tumpe sijui tuzo gan maan msanii bora baba ubaya japokuwa chamel mkal
 
Jay dee , anautamu wake na aina ya nyimbo zake nyingi za kusikiliza

Dangote , anautamu wake na nyimbo zake nyingi za kuchezeka

Ally K, anautamu wake na nyimbo zake nyingi za kutafakari

Tatizo ni nini mbona Raia mnapenda kuwashindanisha ?? Ebo kila mtu na Mautamu yake jamani muhimu woote waendelee kuwepo hakuna kulala
 

Thread closed.
 

nina mdogo wangu na rafiki yangu sana anaitwa sayuni.

Kwa heshima yake nimeshindwa kukupa majibu yako stahili.

Ila nakushauri usome kichwa cha uzi huu(heading of this thread).

Alafu urudi ndani usome maelezo yake na mchango wangu.

Angalia kati ya kichwa cha topic na yaliyoelezwa kama yanaendana.

Mwisho tafakari kati yangu na wewe nani hakuelewa ama hajaelewa.
 

Yeah anaweza kufikia akiwa na nia na kwa kujituma na kuachana na mambo yasiyo na msingi na kuwa makini na watu wanaomzunguka pia sifa zisivo na msingi a focus kwenye kazi yake na ajue kuwa wanaomwambia ukweli ni hater akubali kukusolewa mana kuna watu washabikia na kusifia hata visivo faa akaze buti ana safari ndefu kwakweli
 
Ndomo mshamba sana jana kashinda madukani na babu tale wake wakifanya shoping ya viatu vya kuchukulia tuzo wakati jide hana hata habari yuko zake anafanya mazoezi ya kulenga shabaha!

yupo zake ulaya Anajifunza Ku shoot dah pesa hizi raha sana , wenyew uku wanakazana makelele ya tuzo , ngoja commando aje awanyamazishe na risasi za m@takon kwanza waache shobo
 

Kaka hapa utakua unafanya mazoezi, hawa watu unaobishana nao ni vipofu wa fikra hawawezi wakakuelewa!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…