Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Sikiliza wimbo mpya kutoka kwa couple wapya in the town nawe utoe maoni yako unauonaje wimbo huu. Wamefanya vizuri au bado hawaridhishi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikiliza wimbo mpya kutoka kwa couple wapya in the town nawe utoe maoni yako unauonaje wimbo huu. Wamefanya vizuri au bado hawaridhishi.
[emoji4] [emoji4] ngoja niusikilize aisee..Uwiiii what a romantic song?
Bonge la wimbo nimeupenda sana.
Jay Dee kama kawaida hajawahi kuniangusha,Shemela Spicy nae yuko vizuri kinoma.
Kama ni rate basi nawapa 10/10.
[emoji444] I belong to youuuuu...We belong together
You belong to meeeee...We belong together
I can't late you go,you make me happy & blast.
Awwwwww
cc The bold...ni kama wametuimbia sisi hiviiiiii [emoji6]
Enjoy
Naona sasa hivi kila baada ya sentensi unamuwaza bby wako The bold, hongereni mkifika kwenye kadi za harusi msitusahau.Uwiiii what a romantic song?
Bonge la wimbo nimeupenda sana.
Jay Dee kama kawaida hajawahi kuniangusha,Shemela Spicy nae yuko vizuri kinoma.
Kama ni rate basi nawapa 10/10.
[emoji444] I belong to youuuuu...We belong together
You belong to meeeee...We belong together
I can't late you go,you make me happy & blast.
Awwwwww
cc The bold...ni kama wametuimbia sisi hiviiiiii [emoji6]
Enjoy
Usikilize haraka bae...[emoji4] [emoji4] ngoja niusikilize aisee..
Ila mbona kama tumeandika sisi huo wimbo [emoji1]
[emoji85] [emoji85] [emoji85] huyu kijana mbaya jamani.Naona sasa hivi kila baada ya sentensi unamuwaza bby wako The bold, hongereni mkifika kwenye kadi za harusi msitusahau.
hata mimi naonaMkojozaji mpya amekuja kwa kasi kweli
You are always on point queen ariana.hata mimi naona
kiasi kwamba jide anaishi maisha kama ya kuwakomoa watu fulani vile!!!