Lady JayDee Ft Spicy Together Remix | New Music 2016

Uwiiii what a romantic song?
Bonge la wimbo nimeupenda sana.
Jay Dee kama kawaida hajawahi kuniangusha,Shemela Spicy nae yuko vizuri kinoma.
Kama ni rate basi nawapa 10/10.

[emoji444] I belong to youuuuu...We belong together
You belong to meeeee...We belong together
I can't let you go,you make me happy & I am blessed
Awwwwww
cc The bold...ni kama wametuimbia sisi hiviiiiii [emoji6]
Enjoy
 
[emoji4] [emoji4] ngoja niusikilize aisee..

Ila mbona kama tumeandika sisi huo wimbo [emoji1]
 
Naona sasa hivi kila baada ya sentensi unamuwaza bby wako The bold, hongereni mkifika kwenye kadi za harusi msitusahau.
 
kiomja tuu ile sauti ya kisabato ya jaydee ndo inayoniacha hoi..
 
hata mimi naona
kiasi kwamba jide anaishi maisha kama ya kuwakomoa watu fulani vile!!!
You are always on point queen ariana.

Yaan kama kuna watu nalengwa na matukio, nadhani saa nyingine
'Mapenzi ni utoto' hata uwe mkubwa vipi kuna mambo flan flan hivi ya kitoto utayafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…