Lady JayDee: Hii ni "TUZO" yangu ya 30...

Kumbe huwa anajishaua bure kumbe anazipenda, huyu si ndiye aliuliza kwa dharau kama tuzo za KILI zimefanyika!!! kumbe nazo anazihesabu!!! aaha 'Sizitaki mbichi hizi'.


Kama ulikua humjui huyo mwanamke pole sana.
Ni mbinafsi na mnafki balaa.
Daily anazkandia tuzo za kili na anazikandia midia zilizompandisha chati lakini kwenye mafanikio anataka ajinasibishe nao.

Kama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…