Na mimi nakuona kwa mbaliBinamu nakuonaaaa
Kanisahahu binamushoga ako zari hajakualika kwenye arobaini?
Me nina offer mahali kesho niletee umbea tumi na dinazarde tunasubir jua lizame tukazamie
Labda tafsiri ndio inamchanganya...huenda ukichukua dakika mbili kumuelewesha ataishia kusema 'aaaaa..kumbe kiki ndio iko hivyo'Zile nyimbo za kuwaanika maex wake sio Kiki?