Lady Jaydee: Kufanya Muziki bila Tuzo inavunja moyo

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mwanamuziki mkongwe na aliyekuwa mume wa mtangazaji maarufu, Gardner G habash, Judith Wambura Mbibo aka Lady Jaydee, ameongea kwenye kipindi cha Power Jams kinachorushwa East Africa radio kwenye, mada iliyokuwa inazungumzia kuhusu baadhi ya wasanii wa Bongofleva, Hiphop na Rap kukosa tuzo ili hali wanafanya muziki mzuri.

"Sometimes kufanya muziki bila tuzo inavunja moyo " Alisema mwanamuziki huyo mkongwe mwenye tuzo zaidi ya 28 mpaka sasa.
 
Attachments

  • 1427293390624.jpg
    61.3 KB · Views: 685
Hahahahaha yani binamu wewe noma sana eti mume wa gadner jamani!!!
 
Hahahahaha yani binamu wewe noma sana eti mume wa gadner jamani!!!
Hahahaaa,nimechekaje? Sijui warumi alikua anapiga wapi umbea hadi akafanya haya mahoka.
Heading Jaydee. ....ndani aliyekuwa mume wa Gardner. ..lol
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa,nimechekaje? Sijui warumi alikua anapiga wapi umbea hadi akafanya haya mahoka.
Heading Jaydee. ....ndani aliyekuwa mume wa Gardner. ..lol

Umbea huu, kwani ninekosea jamani??
 
Last edited by a moderator:
Et mume wa gadna ulikua unawahi wapi we mcharo
 
Haya tuzo za watu kutoka kwa Nancy Sumari ndio zimefunguliwa tumpigie kura asijekuumia zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…