Tetesi: Lady jaydee kuimwaga label ya rockstar4000

Hawana maana yoyote hao Rockstar 4000, kazi kuua na kukaa juu ya Nyota na vipaji vya Wasanii...!!

Ni bora awamwage tuu, aangalie Lebo nyingine...
 
Hiyo label ahamie kwenye mchiriku ndio itafanikiwa,mziki wa biashara hawawezi wamebaki na yooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…