Lady Jaydee leo tarehe 3 Agosti 2020 live ndani ya Amplifaya Clouds FM

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,123
Reaction score
2,449
Hakuna kubadili gia, Hakuna kupoteza nia!Dada mkuu Jide Jay Dee amedhamiria kuongeza volume Clouds FM ndani ya Amplifaya na Mtu wako wa nguvu, Mr.Countdown Millard Muyenjwa Laizer Ayo, Teh teh!

Atafunguka mengi ni baada ya kutokuelewana na CMG kwa muda mrefu,For the first tyme Leo tuishi nae2, Pia interview itakua live Clouds TV na Clouds Digital



@NgarenaroBoy.
 
dada wa watu ameamua kusamehe baada ya kuona sababishi haipo tena duniani, atamchukia nani sasa...si bora asamehe adharani kuwa hana kinyongo na mtu..maisha yaendelee. By the way; dada ameonyesha msimamo wake wa nguvu kwa akina dada wengine kujifunza kwake

Bado nataka kuona SUGU, MR II naye anayamaliza
Na wengine nisiowajua nao wamaliza tofauti zao, hii itakuwa baraka kwa Rais wa Tanzania kuona mahasimu wakisameheana na kuanza ukurasa mpya
 
SUGU kishamalizana nao zamani,Mchimbi na Mbowe ndio walikuwa wasuluhishaji.
 
Tanzania hakuna anti-trust law?. Joseph Kusaga asiruhusiwe ku headline entertainment industry ya Tanzania!.....
 
yes na uzuri project zake zinaenda
mkuu samahan nipo nje ya mada kidogo

kuna jamaa mmoja ana vocal la hatari sana amehusika kwenye matangazo mengi tu na amekuwa akiwatengenezea ma Djs wengi jingles mf ; dj dea kama ile ya "profesioanal dj d ddddddj dea" hivi anaitwa nani huyu jamaa?
 
mkuu samahan nipo nje ya mada kidogo

kuna jamaa mmoja ana vocal la hatari sana amehusika kwenye matangazo mengi tu na amekuwa akiwatengenezea ma Djs wengi jingles mf ; dj dea kama ile ya "profesioanal dj d ddddddj dea" hivi anaitwa nani huyu jamaa?
Cc mayowela anaweza kuwa msaada wako hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…