Lady Jaydee leo tarehe 3 Agosti 2020 live ndani ya Amplifaya Clouds FM

Au ameshatosheka na uhondo pale EFM
ameondoka muda mrefu sana lakini..alafu pia hao mjengoni kwamfano vipindi vyao vya clouds plus vingi vya kuunga unga tu..unaona kuwa content zinafosiwa
 
Hapa nchakali alipata mke mzur sana
Anaejituma

Dada mmbunifu sana huyu
kama mwana huyo yuko vizuri sana ila nae kinachomcost ana maringo sana yaani...kichwan yuko njema ila mtaani hajielewi kabisa...yuko na shindano lake la billboard kitaa tu basi
 
ishu sio kuyamaliza hao mjengoni wajiangalie wanakwama wapi ndo swala la msingi sana hilo
 
kama mwana huyo yuko vizuri sana ila nae kinachomcost ana maringo sana yaani...kichwan yuko njema ila mtaani hajielewi kabisa...yuko na shindano lake la billboard kitaa tu basi
Ttz wanaume wa dsm wamezoea kulelewa
Na,wake zao ndo ttzo
 
mkuu samahan nipo nje ya mada kidogo

kuna jamaa mmoja ana vocal la hatari sana amehusika kwenye matangazo mengi tu na amekuwa akiwatengenezea ma Djs wengi jingles mf ; dj dea kama ile ya "profesioanal dj d ddddddj dea" hivi anaitwa nani huyu jamaa?
Atakua Patrick au M Lugoe,au Mbaba voice.
 
hapana unajua kinachotucost vijana tunashikiliwa vichwa sana na watu wanaosema wao ndo wamekuja mjini kitambo..sasa yule nchakali mwana yuko njema sana kichwani ndo uzuri wake lakini yeye bnafsi hajajua nn anaweza yeye kama yeye..lakini anaangalia sana foundation ndo shida inaanzia hapo
 
Jamaa Yuko vizur sana aiseee
Tatizo ndo Kama ulivosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…