Lady Jaydee: Mnafiki wa miaka 10, shujaa wa siku 30

Pesa za matangozo wanazo pata clouds zinakwenda wapi?

hiyo ni biashara ya mtu binafsi anaiendesha atakavyo.jd anataka kuuza hiyo biashara yake kupitia mgongo wa wengine.ni kama mimi nagundua kuwa wewe hupendwi na watu mtaani kwako nakuja naanzisha bifu na wewe then natengeneza bidhaa ya kukuchafua wewe coz natambua wote wanaokuchukia wataichangamkia.wewe unazidi kuchafuka mimi naingiza pesa natembea.
 

Utawala wa Baba Mwanaasha ukitoka madarakani Clouds Media kazi wanayo na nyie wapambe anzeni kujikomba aidha kwa Lowasa au Membe au Dr. Slaa
 

Kama biashara binafsi mjibu mpambe mwenzio wa Clouds.
 
si usingejibu sasa.......,
ila usipende kujiuliza kuhusu mapato ya wenzio,

Ukininukuu nakujibu. Kama hutaki nikujibu usininukuu wala kunitaja.

Na nitajiuliza kuhusu chochote kile ninachojisikia kujiuliza. Madhali sijakuuliza wewe usiwe, kimbelembele cha kujibu. Sawa?
 

sasa cha ajabu nini?... Mtoto hulia akifinywa....

Kwa mawazo yako wewe ni sawa na wale wanaosema hakuna upinzani tanzania sababu eti wote mwanzo walikuwa chama tawala...
 
Ukininukuu nakujibu. Kama hutaki nikujibu usininukuu wala kunitaja.

Na nitajiuliza kuhusu chochote kile ninachojisikia kujiuliza. Madhali sijakuuliza wewe usiwe, kimbelembele cha kujibu. Sawa?

mi napenda kujibiwa..........,na nikikunuu kujibia ndo hitaji langu kubwa
ngoja na mie nianze kujiuliza hivi una mke/mchumba........?
najiuliza kuhusu chochote tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…