warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Nawazungumzia Judith Wambura Mbibo au Lady Jaydee (ANACONDA) na Naseeb Abdul au Diamond (MNYAMA),kwa sasa ukitaka kutaja jina la mwanamuziki bora wa kiume basi listi itaongozwa na bwana mdogo Diamond,au kumtaja mwanamuziki bora wa kike basi list vile vile itaongozwa na Lady Jaydee,kwa kifupi hawa ndio wanamuziki bora apa bongo,wanaongoza kwa kuwa na mashabiki wengi kuliko wasanii wote,nyimbo zao hupendwa sana,pia ndio wasanii wanaoongoza kwa mkwanja mrefu apa bongo,japokuwa diamond bado anangoja sana kwa jide.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums