Lady Jaydee na Diamond

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Nawazungumzia Judith Wambura Mbibo au Lady Jaydee (ANACONDA) na Naseeb Abdul au Diamond (MNYAMA),kwa sasa ukitaka kutaja jina la mwanamuziki bora wa kiume basi listi itaongozwa na bwana mdogo Diamond,au kumtaja mwanamuziki bora wa kike basi list vile vile itaongozwa na Lady Jaydee,kwa kifupi hawa ndio wanamuziki bora apa bongo,wanaongoza kwa kuwa na mashabiki wengi kuliko wasanii wote,nyimbo zao hupendwa sana,pia ndio wasanii wanaoongoza kwa mkwanja mrefu apa bongo,japokuwa diamond bado anangoja sana kwa jide.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
unashauri nicomment nini kwenye post yako?maaana silewi nia ya post yako
 
Ruge akikusikia shauri yako. Atakuandalia tamasha la kukusema na kukuimba wewe tu....
 
Kwamba umewapambanisha, au??!!!!
 
Kwamba umewapambanisha, au??!!!!
Siwez mpambanisha jide na diamond,nitakuwa namshusha sana jide,ila kwa sasa ndio wasanii wanaopendwa sana kuliko wasanii woot apa bonge,kumbuka jide ni mwanamke na ndomo ni dume,so nimefany gender equality

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nini kinachojadiliwa hapa jamani naombeni nijuzwe ili nichangie.
 
Nini kinachojadiliwa hapa jamani naombeni nijuzwe ili nichangie.

Sio lazima uchangie mkuu,kama hujaelewa we pita kimya kimya tu,karibu tena

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ni wasanii pekee nilio waona kwenye coke studio hadi sasa.

Ni wao tu ndo wapo toka Tanzania. Nili attend lounching ya coke studio pale Hyatt ,jamaa wanasema walikuwa wana pick top artists only
 
Nionavyo mimi,jide anangoja kwa Domo. Angalia show wanazofanya pamoja ndo utajua hii kitu.sema ni vile mkongwe ni mkongwe tu ana heshima yake ya kukwepa mishale mingi lakin kiukweli HAKUNA KAMA DOMO KWA SASA,
 
humtendei haki Jide unaposema kwa sasa ndio anapendwa sio kweli Jide anapendwa kitambo na hajawahi kushuka hata siku mojq.
 
humtendei haki Jide unaposema kwa sasa ndio anapendwa sio kweli Jide anapendwa kitambo na hajawahi kushuka hata siku mojq.

Ahsante kwa marekebisho

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ruge akikusikia shauri yako. Atakuandalia tamasha la kukusema na kukuimba wewe tu....

Huku akisaidiwa na wazaramo wa Mwanarumango,nahisi hadi Kingwendu atapata show hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…