Lady Jaydee na EFM wameingia kwenye ubia gani?

Lady Jaydee na EFM wameingia kwenye ubia gani?

manSniper

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
814
Reaction score
680
Lady Jaydee rasmi E. fm atakuwa mtangazaji mahiri anarudi kwa kasi hawa E. fm wamedhamiria kuleta mapinduz halisi
 
Sijui hii itakuwa moja ya Sababu Gadner karudi Clouds Media??
 
Back
Top Bottom