Ndio yupo Single kamtokee Usipende ua pakee penda na boga lenyewe...Wasalaam wana jamvi.
Mimi ni muumini wa mziki mzuri leo nimesikia wimbo wa Lady Jaydee unaitwa Rozera kwakweli nimeupenda sana wimbo wake kwakweli pamoja na madhaifu yake huyu dada lakini ana kipaji kikubwa sana na anajua kutunga sana.
Kwakweli nampongeza sana kwa kipaji alichonacho na uwezo wa kutunga....kwakweli wimbo huu umenivutia na nimeupenda.
Hongera sana Jide...
Alichomeka nini?Madawa mabaya sana[emoji22][emoji22][emoji22]
huyu dada alikua hachomoi kwa Ray C
Tupia Kitu nasi tukisikie
Ngorika xpressAlichomeka nini?
Nahisi primarily ni wa art the bandhuo wimbo ni wa jay dee au h art band?