Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Ni Collaboration..huo wimbo ni wa jay dee au h art band?
Kaolewa tena?Hata ule alioimba na mumewe nao ni mkali sana
Sahihi kabisa.Madawa mabaya sana[emoji22][emoji22][emoji22]
huyu dada alikua hachomoi kwa Ray C
Hahaha jirani umehamia lini kolomije?Weka sasa sisi tulio kolomije tutaupataje
Nimeeenda kuangalia shule aliyosoma bashite jirani bado nipo huku kwa uchunguzi zaidiHahaha jirani umehamia lini kolomije?
Kabla ya huu kulikuwa na wimbo mwingine unaitwa kamoba nao mzuri kweli.. Ila sikuona akiufanyia promotion
wa verse ya kwanza nimemkubali sanaSeven Mosha anatakiwa aamke sasa hii ngoma inastahili kufika mbali wale H_Art band watu hatari sana hasa yule mhuni aliefanya verse ya kwanza weka mbali na watoto na dada yetu nae kakaza sana,hii joint inastahili kubakia kwenye hii device yangu kwa muda kidogo sio kama zile ambazo na-download alafu na-delete baada ya kusikiliza mara 3.
wa verse ya kwanza nimemkubali sana
SURE BROTHER,VP NA WA NEY WAPO,UNAUONAJE?Wasalaam wana jamvi.
Mimi ni muumini wa mziki mzuri leo nimesikia wimbo wa Lady Jaydee unaitwa Rozera kwakweli nimeupenda sana wimbo wake kwakweli pamoja na madhaifu yake huyu dada lakini ana kipaji kikubwa sana na anajua kutunga sana.
Kwakweli nampongeza sana kwa kipaji alichonacho na uwezo wa kutunga....kwakweli wimbo huu umenivutia na nimeupenda.
Hongera sana Jide...
huyu bibi hana mambo mengine ya kufanya.? maana mziki ushamshinda