ahahahahahaaaaaaaHajamzungumzia Gadna humo ndani?
Ndi ndi ndi ndio umemrudisha na kagonga sold out concert ya nguvu. Bila shaka account yake bank ilizidi kunona. Kazi inabaki kwako.Ndi-ndi-ndi umeshachuja tayari...!
Au masikio yangu leo?maake nimesikiliza nyimbo ya kijana wa wcb,nikaona mbovu..hii nayo mbovu..yaan hizi touch ndio sielewi kama wabongo watazielewe..ngoja tuone kazi ya promotor,kupromoto...maake kazi ipoNashindwa nitaandika kuhusu huyu mwanamke, lakini mungu akikupa kipaji hakuna wa kukizuia kuonekana, wanasema dhahabu hata ikiwa kwenye moto ni lazima ing'ae tu, God bless this woman aendelee kutupa kitu roho inapenda...
Ya jide mbovu? Nenda kausikilize tena mkuu, jide huwa hakoseiAu masikio yangu leo?maake nimesikiliza nyimbo ya kijana wa wcb,nikaona mbovu..hii nayo mbovu..yaan hizi touch ndio sielewi kama wabongo watazielewe..ngoja tuone kazi ya promotor,kupromoto...maake kazi ipo