Lady Jaydee: Ni kweli Yahaya yupo, na ni rafiki yangu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Japokuwa wengi walidhani wimbo wa Yahaya ulimlenga mmoja kati ya maadui wa Lady Jaydee, mwenyewe amekana uvumi huo na kusema.

LADY JAYDEE:
Mimi nyimbo zangu uwa ni za kweli na ninaongozwa na hisia kwenye nyimbo zangu. Yahaya ni kweli yupo na alishawatapeli wengi apa mjini. Sina shida naye kwani ni rafiki yangu na watu wanamjua na uwa anakuja Nyumbani Lounge.
 
Hata mi najua kua Yahayaa alimtapeli Jide alimla halaf akamkopaa jidee alimsakajeeee eee hahahahhhha
 
kwa tusiomjua Yahaya ni nani

Mwenyewe anasema watu walikuwa wanamsema sana kwa utapeli, na tabia yake ya kupenda kupiga mizinga ndipo alipoamua kutunga hiyo nyimbo. Ila anasema ni rafiki yake na uwa anapenda sana kwenda nyumbani lounge na watu wanamjuaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…