Lady jaydee ni mjamzito

MDANGANYIKAJI

Member
Joined
Jan 27, 2011
Posts
77
Reaction score
59
hizi habari zimezagaa if it is true CONGRATULATION MUMY umewakata ulimi wenye kiherehere; i am so proud of you; utakuwa role model kwa wanawake wengi wa kitanzania wanaonyanyasika kwenye ndoa na jamii kwa kuitwa wagumba na majina yasiyofaa. gooooooo komando GOD BLESS YOU ALWAYS! MWACHENI MUNGU AITWE MUNGU
 
Mkuu ni bora ungeandika hata thread ya kuisifia familia yako,sasa wewe kwa akili yako unashangaa JD kuwa na mimba?si anakojoa huku amechuchumaa sasa sa cha ajabu kipi hapo?
 
jina lako tu ni mdanganyikaji sasa inawezekana umedanganywa na hili pia
 
mi nadhani anawajukuu kumbe hana mtoto mh.
 
ndo mana watu wanapataga laana vivi hv,ww bi wa kusema kukojoa huku amechuchumaa?hujui na huko ndo ulikotokea pia?bila huko hapa jf ungefikaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…