Mtoa mada hebu jaribu kutuelewesha sisi tusiomjua JD ni nani. Je alikuwa tasa sasa amepona? Je alikuwa hana mume au mumewe nae alikuwa mgumba? Je ni ndugu yako hadi ukajua alikuwa ananyanyasika katika ndoa yake? Je alitafuta mtoto akakosa au ni mipango yake?
Mkuu ni bora ungeandika hata thread ya kuisifia familia yako,sasa wewe kwa akili yako unashangaa JD kuwa na mimba?si anakojoa huku amechuchumaa sasa sa cha ajabu kipi hapo?
Hivi neno TETESI lina maana gani?
haaaaaaaaaaaa we Mwita inamana naniliu ndo mgumba mbona ana mtoto wa kike?????????Atakuwa ametoka nje ya ndoa tu huyo.
labda kama kabeba jiwe
JD ni pombe kali,au?Wewe utakuwa siyo mtanzania.
he can either be or not be sewrious but cant try be seriousMwita try to be serious!!!!!!!
Hawa ni wasomaji wa magazeti ya udaku ndo wenye mawazo ya namna hii.Mkuu ni bora ungeandika hata thread ya kuisifia familia yako,sasa wewe kwa akili yako unashangaa JD kuwa na mimba?si anakojoa huku amechuchumaa sasa sa cha ajabu kipi hapo?