Swali jingine mbona Lady Madonna kazaliwa mwaka 1958 - mwaka 1996 ndio akazaa akiwa na umri wa miaka 38 natumaini huu umri Lady JD hajafikisha bado! Jamani JF sasa itageuka kua janvi la udaku.
Madonna hakuwahi kujitangaza kuwa hana uwezo wa kuzaa, JD amewahi kufanya hivyo hadharani. Sawa??
Pigia mstari
kwani jd ndo nani? ni mbunge wa wapi?
Mwita try to be serious!!!!!!!
Serious kwenye mimba za watu au? Hivi na haya ni mambo ya kujadili? Anyway napita tu, inahitaji uwe ......kiasi fulani ili maisha binafsi ya watu yawe yanakuhusu. Duh! Hadi wanaume, kaaazi kweli kweli
Halafu swali langu kwahuyu dada ni kua mbona Janet Jackson mpaka leo hajazaa je nani mwenye umri mkubwa kati yake na huyu Lady JD?
Idea ni kuonyesha ni mwanamke na wala si huko ulikofika! kwani angesema mwanaume anakojoa huku amesimama ingemaanisha dharau kwa mwanaume?? si kihivyo jamani
labda kama kabeba jiwe
Kama u mjamzito, hongera sana JayDee, kama sio,utaendelea kuwa mwanamuziki mzuri wa kitanzania na mwenye mafanikio...kukosa mtoto haipunguzi utu wala thamani yako....!!
Tarime.