Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa
Husika na kichwa ha habar hapo juu
Yule dada yetu mkali dada mtata komando la kivita anayejiamin na asiye tishiwa nyau yupo mbion kuachia ngoma mpya ambayo kafanya kwa aina tofaut kabisa na ile tuliyoizoea kutoka kwake
Dada huyo kafunguka na kusema kwamba kafanya ngoma mpya pale combination sound kwa man water ngoma hiyo kaandikiwa na raper mubaya raper mtata kutoka mwanza ngosha the don
Ngoma hiyo ambayo inakwenda kwa jina la i miss you jina hilo likiwa ni idea ya ngosha. mda si mrefu itakuwa hewan
Dada kadai kaamua aje kwa aina tofaut ili awappe raha mashabiki zake ambao wamemumis siku nyingi
Huyu dada hajawahi niangusha hata siku moja nampenda kinoma
Kumbe hata kurap anajua
Cc mbitiyaza
LONDON BABY