Lady JD ajichagulia Jeneza la kuzikiwa

kyalankota

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
2,594
Reaction score
1,462
Mwanamuziki Lady JD wa bongo flavor amejichagulia jeneza lake la kuzikiwa pindi atakapofariki dunia.

Source: Magic fm magazetini.
 
Jide bana mm binafsi huwa naubali uwezo wake kimuziki but kuna muda mwingine huwa simuelewi elewi hv,anyways aishi awezavyo hyo ndio style ya maisha aliyochagua Kuishi.
 
Jamani si maisha yake? Umbea mwingine too much
 
Kama tunajiandalia suti za harusi sioni tatizo kujichagulia jeneza ila kwa kua tunaogopa kufa lazima tuone hili la jeneza ni kukufuru.
 
Hii story ni kama ya miaka mingi kidogo iliyopita,
au ameanza tena.
Mwache atamani kufa huko hakuna ndoa wala kuimba bongo fleva.
 
Hii story ni kama ya miaka mingi kidogo iliyopita,
au ameanza tena.
Mwache atamani kufa huko hakuna ndoa wala kuimba bongo fleva.

Kapost lingine, kasema amebadili rangi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…