Hii lugha inawatesa wengi,"Proud him or her"
Umeelewa nilichoandika kwenye hayo mabano?(HIM deliberately used)mi nahisi we ni mmoja wapo wa wanaoteswa na hii lugha kwa maana hukuelewa kwenye mabano nimemaanisha nn
Ule uzi wa muke ya muganda mbona siuoniiii
Usiniambie mods wameurestisha uzi in pisi????
Hii lugha inawatesa wengi,"Proud him or her"
Mamndenyi hii ni Mpya amesema amebadilisha rangi na kutakuwa na mwaliko maalumuHii story ni kama ya miaka mingi kidogo iliyopita,
au ameanza tena.
Mwache atamani kufa huko hakuna ndoa wala kuimba bongo fleva.
Hii story ni kama ya miaka mingi kidogo iliyopita,
au ameanza tena.
Mwache atamani kufa huko hakuna ndoa wala kuimba bongo fleva.
hizo hapohao majic watuletee umbea na picha
Jay dee angekuwa Rubani nisingepanda ndege yake. Something seriously wrong/condesed upstairs!