lady jd akihesabu mapato ya shoo yake ni kiduchu sana

sheria za kazi zinabana unless kuna siku ningeweka uzi hatari hapa ndani kuonesha kiasi wanachomiliki hawa watu maana kelele mingi sana humu ndani
 
hizo ni zile alizotuzwa na mashqbiki..ambazo zote alimpa mama yake km zawadi
 

acha kutudanganya, hizi ni hela alizotunzwa kwenye stage na alimpa mama yake km zawadi, pale nyomi lilikuwa la kutosha na ilidhihirisha kuwa umungu mtu wa radio ya wafu/waliberali umekwisha zama zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…