Lady JD chali, Watu Wanacheza bila Kukunja Goti...

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
20,649
Reaction score
4,786
tunaoiona kesho tulisimama imara na kuweka msimamo kuwa huyu kikongwe kaishiwa na anatapata tu ili apate huruma ya wakurupukaji...

yametimia ya waungwana.
hatimae Old Lady toka mkoa wa Mara zile nyimbo zake mbili ambazo alishauriwa akawauzie wakulima wa Mpunga ili zitumike kufukuzia Ndege, leo hii hazisikiki.
Joto hasira na Yahaya hata Kilabuni hazivumi tena, hapo anapofanya shoo na kwaya yake napo kwishney.

Wakati upande wa pili Mwana FA ambaye aliwahi kutuhumiwa na Bibi huyu akiwa anaunguruma ipasavyo kwenye kibao kilichoibamba Africa Mashariki kwa sasa kinachokwenda kwa jina la Cheza bila kukunja goti akiwa anafanya vema na kukimbiza.

Hakika Jide kapotea kama harufu ya Ushuzi...
 
Sio tajili
Ila leo nita make
Ili watu Wanijue yaaah

Sina kitu
Ila leo nita make
Mpaka watu wanijue yaaah

Cheza cheza bila kukunja goti
Cheza cheza bila kukunja goti...
 
Jaydee anafanya vizuri tu, karibia bodaboda zote zina nyimbo ya yahaya, radio bado zinapiga we sijui unasikiliza radio gani? , tunaona kwenye Coke studio, Mwache dada wa watu afanye kazi zake, mwanaFA katoka nyimbo kama zamani haijadumu ata mwezi, hiyo cheza bila kukunja goti ni nguvu ya watu 3. Kuwa na mtu kama jide kwa miaka 13 kwenye gamu bila kushuka kiwango si kitu kidogo. Wache vijana wafanye music tufurahi
 
Ona aibu basi kujiwekea bifu na mtoto wa kike,jide kashindikana , watu bwana,sasa ulitaka nyimbo zake zikae milele hewani??,basi ingekuwa hivyo kusingekuwa na haja ya kutoa nyimbo kila siku kwa wasanii wote,nyimbo zinatolewa kwa wakat maalumu kulingana na mahitaj ya mashabiki so wewe unahaha kitu gani?? Sasa kama nyimbo zake zimefulia whaat?? She is coming with another bomb,wewe kama una bifu naye,u better uongeze speed kumchukua
 
hah hah hah hah kama nyimbo za jide zinatamba kwenye Bodaboda je za Msaga sumu?

Sio tajili
Ila leo nita make
Ili watu Wanijue yaaah

Sina kitu
Ila leo nita make
Mpaka watu wanijue yaaah

Cheza cheza bila kukunja goti
Cheza cheza bila kukunja goti...
 
Ona aibu basi kujiwekea bifu na mtoto wa kike,jide kashindikana , watu bwana,sasa ulitaka nyimbo zake zikae milele hewani??,basi ingekuwa hivyo kusingekuwa na haja ya kutoa nyimbo kila siku kwa wasanii wote,nyimbo zinatolewa kwa wakat maalumu kulingana na mahitaj ya mashabiki so wewe unahaha kitu gani?? Sasa kama nyimbo zake zimefulia whaat?? She is coming with another bomb,wewe kama una bifu naye,u better uongeze speed kumchukua

Kaishiwa yule.
usitarajie unachokitaraji...
nyimbo zake ni kama big G tu...
 
tunaoiona kesho tulisimama imara na kuweka msimamo kuwa huyu kikongwe kaishiwa na anatapata tu ili apate huruma ya wakurupukaji...

yametimia ya waungwana.
hatimae Old Lady toka mkoa wa Mara zile nyimbo zake mbili ambazo alishauriwa akawauzie wakulima wa Mpunga ili zitumike kufukuzia Ndege, leo hii hazisikiki.
Joto hasira na Yahaya hata Kilabuni hazivumi tena, hapo anapofanya shoo na kwaya yake napo kwishney.

Wakati upande wa pili Mwana FA ambaye aliwahi kutuhumiwa na Bibi huyu akiwa anaunguruma ipasavyo kwenye kibao kilichoibamba Africa Mashariki kwa sasa kinachokwenda kwa jina la Cheza bila kukunja goti akiwa anafanya vema na kukimbiza.

Hakika Jide kapotea kama harufu ya Ushuzi...

Mkuu PLZ
si busara kumtukana na kumtolea maneno yasio na heshima huyu dada hapa
Kama una ugomvi nae kamalizane nae huko huko
Umeshamtukana umefaidi nini sasa...........unaonaje ukamtukana huyo aliyewachonganisha????
 
aisee duu hivi cheza bila kukunja goti na yahaya hipi inapata air time kubw

are serious kuandika ulicho kiandika?duuu.

hao hawawezi kushindana na jide kabisa hasa mwana fa.

HAHAHA UMENICHEKESHA NA HIZI NDOTO ZAKO.
 
Jide ni mwanamke jasiri anejitoa kwenye unyanyasaji na amesimama imara bado
 
tunaoiona kesho tulisimama imara na kuweka msimamo kuwa huyu kikongwe kaishiwa na anatapata tu ili apate huruma ya wakurupukaji...

yametimia ya waungwana.
hatimae Old Lady toka mkoa wa Mara zile nyimbo zake mbili ambazo alishauriwa akawauzie wakulima wa Mpunga ili zitumike kufukuzia Ndege, leo hii hazisikiki.
Joto hasira na Yahaya hata Kilabuni hazivumi tena, hapo anapofanya shoo na kwaya yake napo kwishney.

Wakati upande wa pili Mwana FA ambaye aliwahi kutuhumiwa na Bibi huyu akiwa anaunguruma ipasavyo kwenye kibao kilichoibamba Africa Mashariki kwa sasa kinachokwenda kwa jina la Cheza bila kukunja goti akiwa anafanya vema na kukimbiza.

Hakika Jide kapotea kama harufu ya Ushuzi...
Ushabiki wa Mpira na Music mbona haviendani... umeandika mapovu tu hapo.... la muhimu kauza au hajauza? maana mtu akinunua anakuwa anasikiliza kila anapotaka...
 
sio tajili
ila leo nita make
ili watu wanijue yaaah

sina kitu
ila leo nita make
mpaka watu wanijue yaaah

sio lazima uwe kibopa ni uamuzi wako,range vits zote zinafika disco! Tulzike jiji,dar iwe ka rufij
 
Mkuu PLZ
si busara kumtukana na kumtolea maneno yasio na heshima huyu dada hapa
Kama una ugomvi nae kamalizane nae huko huko
Umeshamtukana umefaidi nini sasa...........unaonaje ukamtukana huyo aliyewachonganisha????

Wapi pana tusi?
hv unawajuwa Mods wa JF walivyo na njaa ya kuwafungia wadau?
Je pangekuwa na tusi unadhani mpaka muda huu ningekuwa nimesalimika?

Kama huna cha kuandike nenda kachukue kopo ukachambe...
 
aisee duu hivi cheza bila kukunja goti na yahaya hipi inapata air time kubw

are serious kuandika ulicho kiandika?duuu.

hao hawawezi kushindana na jide kabisa hasa mwana fa.

HAHAHA UMENICHEKESHA NA HIZI NDOTO ZAKO.

Hah hah hah hah watu wamepajuwa anapokaa Yahaya...anakaa Masaki Chole Road...
Haya aje na ngonjera nyingine...
 
Ushabiki wa Mpira na Music mbona haviendani... umeandika mapovu tu hapo.... la muhimu kauza au hajauza? maana mtu akinunua anakuwa anasikiliza kila anapotaka...

kama nilioyaandika yalikuwa ni mapovu, basi haya yako ni makohozi...
Kazi kwako zumbe, uyateme au uyamung'unye kama kawaida yako kisha uyameze...

Tuendelee...
 
Back
Top Bottom