Bila kukunja goti ni ya Afrika Mashariki, Magharibi, na kusini mwa jangwa la Sahara...
Futa mapovu njoo na hoja...
Cheza bila kukunja goti? ndo nini hiyo? au ndo kumpumliwa kisogn? muwe mnawaza wakati mnapo-post!
mleta uzi,napenda kuchkua nafasi hii kukupongeza na kuleta uzi usio na mashiko. pia nakuuliza JD unamjua vzr au unatka comment nying??
Ina maudhui gani kwa jamii mkuu?! Inatufundisha nini? Mwimbaji anawasilisha ujumbe gani kwa jamii ya maeneo uliyotaja na dunia kwaujumla?
hv ule kama zamn c ulitoka baada ya joto hasira?? sa mbna c usikii huu wa kukunja got c collabo ya mtu tatu tena imetoka hv karbun?? cn uhakika na kipimo cha comparison kikoje!!
Angekuwa ni jeshi la mtu mmoja angeipa peke yake kwenye Joto Hasira...
Haya futa povu
Naona hata ile show ya jide haikukupa akili kwamba jide ni kifaa kinakubalika. Futa povu sasa
tunaoiona kesho tulisimama imara na kuweka msimamo kuwa huyu kikongwe kaishiwa na anatapata tu ili apate huruma ya wakurupukaji...
yametimia ya waungwana.
hatimae Old Lady toka mkoa wa Mara zile nyimbo zake mbili ambazo alishauriwa akawauzie wakulima wa Mpunga ili zitumike kufukuzia Ndege, leo hii hazisikiki.
Joto hasira na Yahaya hata Kilabuni hazivumi tena, hapo anapofanya shoo na kwaya yake napo kwishney.
Wakati upande wa pili Mwana FA ambaye aliwahi kutuhumiwa na Bibi huyu akiwa anaunguruma ipasavyo kwenye kibao kilichoibamba Africa Mashariki kwa sasa kinachokwenda kwa jina la Cheza bila kukunja goti akiwa anafanya vema na kukimbiza.
Hakika Jide kapotea kama harufu ya Ushuzi...
Jaydee anafanya vizuri tu, karibia bodaboda zote zina nyimbo ya yahaya, radio bado zinapiga we sijui unasikiliza radio gani? , tunaona kwenye Coke studio, Mwache dada wa watu afanye kazi zake, mwanaFA katoka nyimbo kama zamani haijadumu ata mwezi, hiyo cheza bila kukunja goti ni nguvu ya watu 3. Kuwa na mtu kama jide kwa miaka 13 kwenye gamu bila kushuka kiwango si kitu kidogo. Wache vijana wafanye music tufurahi
Ukitaka kumshinda mjinga we usishindane nae...
bibi aliibuka na kumchafua sana FA kwenye mitandao...na hata kupelekea kumwita jina la Kike jamaa.
But FA akatumia njia ileile ya ''MBWA UKIMJUWA JINA HAKUSUMBUI''...
So akapiga kimya na hakumjibisha.
Matokeo yake sasa hivi Bibi hana tena wa kumchokonoa na kuanzisha nae tafrani ili arudishe jina.
Kwa sasa kapoaaa, hapo Nyumbani Lounge napo hapabambi kama zamani.
Huku Skylight wanakonga nyoyo za washashi, huku FA anasuuza nyoyo za wahafidhina...
Bibi sasa atafute Kanisa au jumuia ili ajiunge na kwaya...labda huko atafuta kamasi na kupata ahueni...
Inaelekea hata w'end hutoki kwenda viwanja...
So we subiri kuolewa tu.
Huyu jamaa katumwa na cloudsfm nin jaydee yupo juu sana na ana band yk mwenyewe machoz band
Kucheza bila kukunja goti ni dalili ya USHOGA kama ulikuwa hujui walichomaanisha
Acha kusifia ujinga. Wimbo upi LJD ameimba peke yake uka hit?
1. Hana kipaji
2. Nyimbo zote za kitoto
3. Wimbo wake u-hit lazima ashirikishe mwanamuziki mwingine.
Akubali yeye siyo tishio. Alibahatika tu. Na akiendelea kutojitambua atakufa kimuziki
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
kwan joto hasira ilikua kwa ajil ya mwana fa? na hata hvyo hukuona kama huyo bila kukunja got aliingzwa kwenye ugmv wa mafahar wawil na akatumika vibaya??