PatPending
JF-Expert Member
- Aug 17, 2007
- 491
- 106
Mmmh wajameni, kweli bongo watu malimbukeni, a twelve years old car at this price, this is about 6000 pound sterling, in UK taking into consideration of current economical situation and stagmant car industry market you could get a Honda Crv at least ya mwaka 2006 ikiwa na vikolombwezo vyote vya electronics na kama unataka ku i ship bongo the maximum it will cost you will be 500 to 1000 pounds.
This prove one thing, the advantage of mtandao na mwenye macho haambiwi tazama.
Alamsiki.

Tunashukuru kwa ulimbukeni wetu hapa Bongo, bt inaonesha uliondoka siku nyingi, kama sikosei enzi za kudandia meli! Inaonesha U dont even know what is happening in Tanzania in terms of tax payment, registration fees, and other associated charges, leaving apart the freight and demurage charges!
Inawezekana uki-import direct bei ikawa chini, bt this is already there! There is a time constraint, inconviniences etc before the car becomes yours!
Nevertless, kuna watu wanaitwa COTECNA-TISCAN, hawa hawana cha msalia mtume. Utaonesha docs zote kwa umenunua CRV ya mwaka 2006 kwa pound 6,000, but their tax estimate will base of what's that car market price!
Hivi vyote mzee wa UK huvipigii hesabu??
Acha kudiscourage watu bwana, na wewe fanya hima uje usalimie nyumbani japo ujue what's going on the ground, ntakusaidia wasikubanie visa renewal!
Entrepreneur lazima huyo jamaa akushukuru kwa shule uliyo mpa aisee! Hao washikaji wamezamia huko majuu miaka nenda rudi hawarudi hata kuwapa hi ndugu zao na kujua wht is happening now on the ground...madhara yake ndo hayo ya kuwa na picha za mwaka 47 vichwani...na wakija rudi home wanashangaa sana!
Kifupi suala linalofanya magari yawe expensive bongo ni kodi....Import duty 25% of CIF value+ 5% or 10% excise duty *(CIF + Import duty) value+20% *(CIF+Import duty+excise duty) value na kama gari lako ni la zaidi ya 10 years...basi jumlisha 20%*(CIF+Import duty+excise duty+VAT)!
So ukiangalia hapo utakuta kodi ya magari ni kati ya 50% na 75% ya CIF value! Sasa kwa kuwa calculation ya kodi moja inafanyika baada ya kujumlisa kodi nyingine, ina maana effetively gharama za kulipa baada ya CIF Value zinaweza kuwa up to 100% yaani mara mbili ya gharama ya kununulia!
Hapo bado hujasajili, insurance etc....halafu mtu analeta story za mamtoni hapa!
Hii kitu Mj1 vp itakufaa? Maana foleni siku hizi zimezidi ukisimama toka Posta mpaka Mbagala miguu itaota sugu.
bado kabisa tz magari yanauzwa ghali unafunga mkanda unalipa kpdi kibao,halafu wanatokea watu tu wanaila hela yako, sasa hatuoni sisi ni washamba bado?kodo zote hizo kwa faida ya nani? so watawala bado wanabeba lawama, kwani japo kodi ni kubwa kuliko maelezo but haionekani inakokwenda, ndo kuliia hse 10M, 200M+ FURNITURE EEH KM KWELI. so hatuna ili munkari ya kususa tunachotakiwa kufanya japo kwa mda, so TISCAN ina faida gani pale? why TRA wasitoe hiyo huduma kwa hizo duty zote tunazoipia? ushenzi mtupu tz. ahaa CRV ya 96 kwa 12M?? baado sana mazee, gari yenyewe honda/ bora ingekuwa toyota!!
Kaka.......kwa mapozi na upedeje....nakubali...ndo maana kule kny ''mtandao'' huwa unaingia kirahisi!.....ha!ha!ha!....! kweli 70k za kuretouch was immaterial kaka....MJ1 unataka ummalize kwa Honda CRV? unatisha bro!
muzee mjasiriamali wahapahapa tu ndugu yangu