Lagos to New York by Kenya Airways.

Jamaa alipo taja jina la ngombe akukosea tatizo lenu Kenya ni utumwa wa kingereza sisi tunajitaidi kuweka majina katika mfumo wetu wa kiswahili ili kurahisisha utamkaji na kukuza lugha yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Freshian kwa kiswahili ni? Hata sisi kwa lugha zetu za Asili tymezipa majina za kurahisisha kama vile Freshia for Freshian. Si sioni sababu nitayumia hilo jina wakati namuelezea mtu asielewa lugha yangu... Huo ndio tunaita ushamba na wengi wenu ni washamba.
 
Kenya bwana wnatupiga bao, kweupe, sisi tunanunua ndege mpya inabeba mbuzi kwenda arabuni, sasa hivi tutapeleka mkaa uwahi hija
 
Naona uzi huu kuhusu safari ya KQ Lagos- Newyork umegeuzwa ukawa ni mada kuhusu maziwa na nyama. Takwimu zinaonesha wazi kwamba Kenya ni kati ya nchi 'top 3' Afrika, zinazo ongoza kwenye uzalishaji wa maziwa na nyama pia. Bovine Milk Production per Person: Africa. Bovine Meat Production per Person: Africa.
 
ATCL imeanza kupeleka mbuzi Dubai kwa kutumia Ndege ya Abiria Dreamliner..
Bado sijaconfirm kama Mbuzi walikaa kwenye siti za abiria au sehemu ya mizigo.

Hahahahaha No Brother nazani hauja elewa the business beyond, ni kwamba ATCL watakuwa wana toa mizigo toka MWAZ mkapa JNIA then Emirates watatoa mizigo JNIA to Dubai hivyo bac sio direct flight.
spare your words Truth must stand firm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…