ni utaratibu mpyaMkuu hiyo elfu10 ya mwanasheria mbona sijawahi isikia au ni utaratibu mpya huo, mimi nna till 6 lakini zote nilipeleka copy za tin, leseni, kitambulisho, barua ya serikali za mitaa na passportsize tu
ukipeleka copy zilizokuwa certified hakuna haja ya kupeleka hiyo 10KMkuu hiyo elfu10 ya mwanasheria mbona sijawahi isikia au ni utaratibu mpya huo, mimi nna till 6 lakini zote nilipeleka copy za tin, leseni, kitambulisho, barua ya serikali za mitaa na passportsize tu
za kununua zina changamoto sana laini ikiibiwa au kupotea, atapata tabu sana, labda anunue kwa mtu anaemfahamu ambazo ni zake, pia namshauri kama hana documents aazime za ndugu au rafiki atumue hizo apate tillNamaanisha tafuta ya kununua either mtaani au kwa wale maofisa wanahusika na tigopesa huwa wanafanya magumashi wanachukua till za wateja ambazo zimekaa muda wenye nazo hawajaja kuzichukua wanauza
Nipe prons and cons mkuu aisee ni kweli mtaji wangu mdogo ila nahitaji kuwa na changu binafsi nifungue macho mkuuMzee kama mtaji wako mdogo achana na mambo ya kutafuta Tin number ili upate Till bure au inayosoma jina lako utakuja kujuta mbele. Take it from me, fanya mchakato ununue tu if possible
Tin number ni bure,nenda tra uwe na barua ya serikali ya mtaa na copy ya kitambulisho chochote cha taifa
Mkuu mm nilichukua bure acha ubishiTin number sio bure,mueleze ukweli kua akifika pale na akaeleza TIN namba anataka ya nn ni lazima alipie kodi ya hicho anachoenda kukifanya ndio atapewa Tin.
Mkuu mm nilichukua bure acha ubishi
Siku nyingine usitumie vishoka,Labda ukichukua kwa ajiri ya leseni.lakini ukisema tu ninkwa ajiri ya biashara ni lazima ulipie kodi ya hiyo biashara unayotaka kuanza ndio wanakupa Tin.
Bure ili mradi uwe na leseni ya biashara na mtajiNaomba kujua line ya tigopesa na mpesa ni sh ngapi na je ya kunua kwa MTU ni sh ngapi na mpya ni sh ngapi
KabiasaLabda ukichukua kwa ajiri ya leseni.lakini ukisema tu ninkwa ajiri ya biashara ni lazima ulipie kodi ya hiyo biashara unayotaka kuanza ndio wanakupa Tin.
Huwezi Kupata tin bure labda ya leseni uderevaSiku nyingine usitumie vishoka,
Gharama ya business licence kwa ishu ya uwakala inaweza kuwa kiasi gani? Leseni hiyo hiyo inatumika kufatilia laini kwa mitandao yote au kila laini unatakiwa ulipie tena upya?ni bure, ila uwe na documents zifuatazo
1. TIN NUMBER
2. BUSINESS LICENCE
3. KITAMBULISHO
hivyo vyote unapeleka certified copies au unaenda na 10,000 ya mwanasheria
ILA UKITAKA LAINI ZA KUNUNUA NI KATI YA 100-150K
Inategemeana lakin mara nyingi n 80,000 kwa mwaka hii unaipata ofisi za halmashauri lakini kule tra lazima upate tax clearence baada ya kukadiliwa kodi.Gharama ya business licence kwa ishu ya uwakala inaweza kuwa kiasi gani? Leseni hiyo hiyo inatumika kufatilia laini kwa mitandao yote au kila laini unatakiwa ulipie tena upya?
Shukran mkuuInategemeana lakin mara nyingi n 80,000 kwa mwaka hii unaipata ofisi za halmashauri lakini kule tra lazima upate tax clearence baada ya kukadiliwa kodi.
Ili upate clearence form lazima ulipie robo ya kodi uliyokadiliwa ambapo kwa e money services hapa nilitwanga 100,000 kwa mwaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu si kubwa sana na inafuatana na mtandao husika.kikubwa inatakiwa uwe sehemu ambayo wateja ni wengi ndio utaona commision zinakuwa nyingi.mfano airtel kuweka 10000 wanatoa tsh 200 na hapo mwisho wa mwezi wanakata 10% witholding tax.Shukran mkuu
Hivi mfano kwa muamala wa kutoa sh 10000 ambayo mteja anakatwa sh
1400, wakala anapata kiasi gani ktk hiyo 1400 kama commission?
Aisee! Lakini kwa tigopesa na mpesa commission inazidi sh 200 kwa muamala wa 10,000? Kwa muamala wa kutoa sio kuwekaMkuu si kubwa sana na inafuatana na mtandao husika.kikubwa inatakiwa uwe sehemu ambayo wateja ni wengi ndio utaona commision zinakuwa nyingi.mfano airtel kuweka 10000 wanatoa tsh 200 na hapo mwisho wa mwezi wanakata 10% witholding tax.
Sent using Jamii Forums mobile app