Conquistador
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,435
- 3,463
Nina simu aina ya INFINIX nilinunua July 2020. Laini ninayotumia Ni ya Vodacom. Siku hizi hii simu hai display sms, iwe nimepokea pesa au nimetuma pesa au sms yoyote.
Nikiweka laini ya halotel sms zinaingia Kama kawaida.
Tatizo linaweza kua Ni Nini?
Nikiweka laini ya halotel sms zinaingia Kama kawaida.
Tatizo linaweza kua Ni Nini?