C Conquistador JF-Expert Member Joined Jun 10, 2024 Posts 1,435 Reaction score 3,463 Oct 20, 2024 #1 Nina simu aina ya INFINIX nilinunua July 2020. Laini ninayotumia Ni ya Vodacom. Siku hizi hii simu hai display sms, iwe nimepokea pesa au nimetuma pesa au sms yoyote. Nikiweka laini ya halotel sms zinaingia Kama kawaida. Tatizo linaweza kua Ni Nini?
Nina simu aina ya INFINIX nilinunua July 2020. Laini ninayotumia Ni ya Vodacom. Siku hizi hii simu hai display sms, iwe nimepokea pesa au nimetuma pesa au sms yoyote. Nikiweka laini ya halotel sms zinaingia Kama kawaida. Tatizo linaweza kua Ni Nini?
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Oct 20, 2024 #2 Bora hiyo unajua ina shida hiyo, zingine unakuta "message sent" " message delivered" lakini kiuhalisia hamna kitu kilichomfikia mhusika
Bora hiyo unajua ina shida hiyo, zingine unakuta "message sent" " message delivered" lakini kiuhalisia hamna kitu kilichomfikia mhusika