Laini ya wakala ya tigopesa

Laini ya wakala ya tigopesa

Investaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2015
Posts
819
Reaction score
756
NANUNUA LAINI YA WAKALA YA TIGOPESA, KAMA UNAYO NICHEK KWA 0629251988. NIPO DAR
 
Mbona kuchonga laini ya tigo ni rahisi sana tena ndani ya muda mfupi. Za kununua zipo nyingi ila itakapotokea shida itakuwa htr sana kwako
 
Mbona kuchonga laini ya tigo ni rahisi sana tena ndani ya muda mfupi. Za kununua zipo nyingi ila itakapotokea shida itakuwa htr sana kwako
Unadhani wanashindwa kuchonga za kwao kwa nini? Shida mpaka uwe na Tin na leseni ya biashara? Kitu ambacho kwa wengi wanashindwa kutimiza vigezo
 
NANUNUA LAINI YA WAKALA YA TIGOPESA, KAMA UNAYO NICHEK KWA 0629251988. NIPO DAR
Ninayo laini ya uwakala ya tigo ..inapiga kazi fresh tu

Kwakuwa ninazo zaidi ya moja ..nauza moja ili ninunue laini ya m pesa

Njoo tufanyr biashara nikuuzie au kama una m pesa tubadilishane

0677 818283
 
Naipataje?
Nenda Tra kaombe TIN number hii ni bure wala haina makadirio ya kodi kwa mwaka Ila usiwaambie lengo la hiyo TIN ni kwenda kufungulia leseni ya biashara then chukua TIN mpange na jamaa akupe tax clearance ila utamlinda japo maji ya kunywa ya elfu 5 nenda ofisi husika Kwa eneo ulilopo kasajili leseni ya biashara hii utalipia around elfu 60 na hapa utaenda na kitambulisho na ni zoezi la masaa machache unamaliza unapata lessen na TIN yako


Then nenda kwa wakala mkuu ktk eneo ulilopo atakupa maelezo zaidi Ila kwa halotel na Airtel laini utazipata ndani ya siku 3 au pungufu tigo utasubiri wiki zaidi ya 3-4 ila ni uhakika na zinasoma majina yako hata itokee imepotea au kufungiwa uhakika wa kupata hela yako ni mkubwa upande wa voda ndo kuna usumbufu mkubwa
 
Back
Top Bottom