Laini za Simu zilizosajiliwa hadi kufikia Machi 2024 ni Milioni 73.42

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Ripoti ya Takwimu za Mawasiliano iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa robo ya mwaka 2024, imeonesha katika kipindi cha Januari hadi Machi 2024 kulikuwa na ongezeko la Usajiili wa Laini za Simu kwa 1.3%

Mtandao wa Vodacom unaendelea kuongoza kwa idadi kubwa ya Watumiaji wa Laini zake wanaofikia 30.5% ukifuatiwa na TiGO 28%, Airtel 26.4%, Halotel 12.8% na TTCL 2.3%

Laini za Simu Zilizosajiliwa kulingana na Mtandao wa Simu

Vodacom - 22,629,341
TiGO - 20,300,451
Airtel - 19,465,353
Halotel - 9,354,092
TTCL - 1,676,541
 
Attachments

Jana nimemsajilia mtu laini 4 kwa NIDA yangu.
 
Ripoti ya Takwimu za Mawasiliano iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa robo ya mwaka 2024, imeonesha katika kipindi cha Januari hadi Machi 2024 kulikuwa na ongezeko la Usajiili wa Laini za Simu kwa 1.3%

Mtandao wa Vodacom unaendelea kuongoza kwa idadi kubwa ya Watumiaji wa Laini zake wanaofikia 30.5% ukifuatiwa na TiGO 28%, Airtel 26.4%, Halotel 12.8% na TTCL 2.3%

Laini za Simu Zilizosajiliwa kulingana na Mtandao wa Simu

Vodacom - 22,629,341
TiGO - 20,300,451
Airtel - 19,465,353
Halotel - 9,354,092
TTCL - 1,676,541
CCM wakati ule walianzisha usajili kwa lengo la kuwakamata akina Mbowe kule Rau ya mishikaki na mtori.
 
Back
Top Bottom