Laini za uwakala

Laini za uwakala

Mimi ni wakala mkuu wa halopesa, unahitajika TIN, na kitambulisho (unapiga picha unanitumia WhatsApp 0718120763)na usajili laini ya halotel kisha iwekee halopesa Tsh 100,000 ambao ni mtaji kianzio kisha nakuwezesha
nitakucheck boss mchakato unatumia muda gani?
 
Nauza line zangu za uwakala Tigo, Aitel na Halotel nipo Kuvule Ukonga Daressalaam
 
Back
Top Bottom