Wataalam wa ngozi tusaidiane. Nataka kuua ndevu kabsa mana zmeamua kuwa nyeupe au mvi mapema. ndevu zangu ni nying sana za kurundikana. Mtaalam wa salun kanambia hata magic powder ninayotumia kwa miaka mingi ina madhara(side effects) hizo. Au hata umri. Je kuua ndevu kwa njia ya Laser ni njia rafik? Je, kwa dar huduma ipo?