kwa mtitiriko wa hizi filamu kila kukichwa jamani wanaongeza nyingine
nimekaa nkasema laiti watu hawa wanaojazana kwenye hizi filamu
wangekaa na kuamua kumtumikia Mungu na kama umaarufu wao wanavyopendwa
natumaini laana hizi za tanzania zinazotiririka zisingekuwepo leo hiii
Embu wan filamu geukeni muwamue kumtumikia mungu hata kwa njia ya filamu
natumaini roho za wengi zitapona........na natumaini kwa tanzania inawezekana
natumaini utakuwa pastor kwenye movie
ntajitahidi nsaharudi porini mpwa
kwa mtitiriko wa hizi filamu kila kukichwa jamani wanaongeza nyingine
nimekaa nkasema laiti watu hawa wanaojazana kwenye hizi filamu
wangekaa na kuamua kumtumikia Mungu na kama umaarufu wao wanavyopendwa
natumaini laana hizi za tanzania zinazotiririka zisingekuwepo leo hiii
Embu wan filamu geukeni muwamue kumtumikia mungu hata kwa njia ya filamu
natumaini roho za wengi zitapona........na natumaini kwa tanzania inawezekana
Chakula alachomtu kinachangia kwa kiwango kikubwa ubora wa afya yake. Kadhalika roho ya mtu inastawishwa kulingana na aina ya chalula inacholishwa. What do yuo feed your heart!!! Kwa kile unachoona/ angalia, kile unachosoma na kile unachosikiliza. Iwapo wasanii ambao ni waelimishaji jamii wanapika aina fulani ya chakula na kulisha jamii, matokeo yake ni dhahiri. Kwa wasanii: mtu huyanena yale yaujazayo moyo wake, kwa mapishi yenu, mwalisha nini jamii. Nakubaliana na Pdidy.