Ah hata sijisumbui kujitetea...we nihukumu tu maana mawazo yote yapo kwenye kukosa kuvaa shela!Kwa hali hii hata Kloro namkubali!Aisee umesahau agano letu nina kesi na wewe utaijibu kesho
We ndie dada yangu nayekutegemea unajua na lazima uwepo maana naona siku hizi kama vile unaingia mitini nadhani hapo umenielewa hadi sasa haya anza kujiteteaAh hata sijisumbui kujitetea...we nihukumu tu maana mawazo yote yapo kwenye kukosa kuvaa shela!Kwa hali hii hata Kloro namkubali!
On a serious note...hiyo kesi naomba unipe juu juu sasa hivi nijiandae utetezi!
I know sema dada yako kakamatika mahali basi tabu tupu!Kichwa tu kinagonga kitanda ndo kimegeuka bestfriend!Ila siunajua unaweza kunicheck wakati wowote?Hata kama nimesinzia niamshe!We ndie dada yangu nayekutegemea unajua na lazima uwepo maana naona siku hizi kama vile unaingia mitini nadhani hapo umenielewa hadi sasa haya anza kujitetea
Hivi yule dada yako mwingine unawasiliana nae? Ujue mwisho wa siku unahusika eheeI know sema dada yako kakamatika mahali basi tabu tupu!Kichwa tu kinagonga kitanda ndo kimegeuka bestfriend!Ila siunajua unaweza kunicheck wakati wowote?Hata kama nimesinzia niamshe!
Unajua hata ile inayosema NO AVATAR na yenyewe ni avatarAmbao hatuna sijui unatujaji vipi.
hahaha! si ulimfukuza getini mshenga niliemtuma kabla hajafika kwa wazazi ?Huh???????????!Mimi tu nimebaki!
Nimeangalia avatar nyingi na nakubali kuwa siyo pic zao halisi ila huzifanya kama za kweli vile. Lkn sijuwi ukweli uko wapi ktk avatar ya Muhammed Soshi. Na avatar yngu imechukuliwa na pic yangu halisi. Na uwamuzi huo umekuja baada ya kuangalia avatar ya The Fienest na Afrodenze ambazo zimetulia ktk colour ya black and white, hivyo ni kama zilinipa ujasiri fulani wa kunifanya niweke pic yangu halisi. But I need not to meet with any one eti kwa sababu ya avatar.
laiti kama ´avatos´zingelikuwa za ukweli...!
Una harakishia wapi sasa???
Sema ubavuAfrodenzi my twin sister umeona hiii
wasalaam wana jf...! miongoni mwa vitu vinavyonivutia hapa jf ni ´avators´! nimekuwa nikitumia muda mrefu kuangalia ávator´ ya AFRODENZI...kwa kweli anaonekana kuwa mrembo haswa, ana ´lips´ nzuri, macho ya kuita, shavu lilobonyea.......natamani kukutana naye, na anaonekana ni ´interlect´ kutokana na anavyodadavua mada anuai hapa jamvini....! ni hayo tu....!

Sure na mimi ndo bwana harusi!
Mimi naupenda mwandiko wake jamani,akiandika comment humu dah!
Ana nikumbusha ilivokuwa rahisi kum sahihishia daftari lake la mwandiko darasa la pili!
So nice naoa mwanafunzi wangu
Zote zinavutia tuu mkuu..vipi ya First Lady, Preta, Mguu wa MR maana hakuna kichwa, Yule anaetukonyeza Maria1980 nadhan ndo mwaka aliozaliwa, Miss J,Nazjaz- huyu anamacho yale ambayo hayana kile kitu cheusi katikati, anaevaa ushungi...DA, Michelle mama Obama japo yuko lockup sijui alikosea nini huku jamvini..:ban:na wengine wote wako poa tuu tuwape nao pongezi.
Nimeangalia avatar nyingi na nakubali kuwa siyo pic zao halisi ila huzifanya kama za kweli vile. Lkn sijuwi ukweli uko wapi ktk avatar ya Muhammed Soshi. Na avatar yngu imechukuliwa na pic yangu halisi. Na uwamuzi huo umekuja baada ya kuangalia avatar ya The Fienest na Afrodenze ambazo zimetulia ktk colour ya black and white, hivyo ni kama zilinipa ujasiri fulani wa kunifanya niweke pic yangu halisi. But I need not to meet with any one eti kwa sababu ya avatar.
Unaweza kukosea jina lamungu na kuniita soshi lakini huwezi kuipotea sura yangu pindi utakaponiona coz I am real na ninareflect avatar yangu na wapo humu JF wanaonijua napenda mimi kuwa mimi sipendi kujificha kwenye shamba la karanga.
Yap
Shossi in da houseeeee
hahahah lol
Vipi mkuu
Cha tangu kipindi kile
cha msimu uleee
Ndo nini kupotea hivyolakini..
Mambo mengi ndugu yangu si unajua tuna familia lazima tuwajibike? ila namsuhukuru Mungu nahema hilo ndio kubwa....vipi wewe hujambo?
hahaha! si ulimfukuza getini mshenga niliemtuma kabla hajafika kwa wazazi ?