The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Unamaanisha blood blood aisee hii haikubaliki kama Malaria muda si mrefu mtu ata:rip::rip::rip:Sema ubavu
wangu wa kwanza
Hahahahahahahah lol
Kama TF asingenishtua
Hii ingenipita mpenzi..
Nway yule
Jamaa ambae nilikueleza
siku ile anadhani mie namdanganya
ansema hakuna cha ujirani lazima tuwe dam dam
hahahah lol
Unaweza kukosea jina lamungu na kuniita soshi lakini huwezi kuipotea sura yangu pindi utakaponiona coz I am real na ninareflect avatar yangu na wapo humu JF wanaonijua napenda mimi kuwa mimi sipendi kujificha kwenye shamba la karanga.
Unamaanisha blood blood aisee hii haikubaliki kama Malaria muda si mrefu mtu ata:rip::rip::rip:
Ahaaa ahaaa lol hebu chagua hilo AUDI SQ7 upande wa kushoto then send me all the necessary details nifanye transfer of funds haraka sanaHahahahahahahah lol
Sisemi kitu muulize MR lol
Nway
unajua leo siku nzima naingia
JF naona kuna magari mawili yametulia
Upande wa kulia kwenye page ya JF..
nway si unajia ni jinsi gani niatakavyo kupenda
ukinichukulia moja .. hahahshhah lol
Nilitaka kukuuliza kwenye bday lakini mbali sana
hahahshhah lol
hongera kwa hilo ... umtumia jinalako halisi na picha yako halisi
Kwa kweli
kila sunrise na kila sunset
ni vema kumshukuru atupaye uhai
nway hope every thing is going perfectly fine now
Na princess anaendelea vizuri..
Nway mie niko fresh sasa
Lakini kama wikimbili sasa dunia ilinichukia
Mmhhh